Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

WAKUU BAADA JANA MONACO KUNINYIMA 1.3 ML,LEO NIMEANDAA MZIGO MWINGINE WA 1.2 ML KWA 5000 MWENYE UWEZO AFUATE.
 
Attachments

6320 Bundesliga
RB Leipzig - Hoffenheim
X 4.00
6321 Bundesliga
Borussia Dortmund - Bayer Leverkusen
X 3.60
6325 Ligue 1
Metz - Caen
X 3.30
Odd47.52
6YVF2NJ
 
Wakuu mi naomba kuuliza kuhusu hii Option ya 1 MINUTES RESULTS ya 1Xbet
Anakwambia
Throw in from 0.00 to 0.59- No.
Tafadhali naomba kuthibitishiwa maana yake then nijiridhishe
Maana mi nimeelewa kuwa hakuna mpira wa kurusha utakaotokea ktk dakika ya kwanza.Je nimeelewa sawa?naombeni jibu then niseme kitu.
 
Ndio maana yake.
 
Getafe kaisha mpiga mtu
Weeknd njema wadau..Kenikia odds 25+

Borussia Dortmund v Bayer Leverkusen
Halftime Fulltime - 1/1 3.49

SD Eibar v Getafe CF
Halftime Fulltime - X/X 4.36

Boluspor v Istanbulspor U21
3 Way - 1 1.75
 
Ndio maana yake.
Ok kama ndio maana yake basi kwa wale wavivu wenzangu wa kuchambua kutokana na kuchoka na vipigo vya Kanji Lanji karibu ni ktk option hii ya kusubiria hii dakika moja ktk mechi nzima ili kuchukua mpunga wako.Hasa katika game za wababe wa pasi km Barca vs Sevilla leo.
Odds zake mi naona km za kumwaga na dakika sio kubwa but yote yaweza kutoka.
 
In play

Scotland

Hibernian vs Celtic

Goal 2 will be scored by kicking-Yes

Odds: 1.7
 
Inplay : EPL

West brom vs Liverpool

Team most corners taken live (Liverpool)

Odds: 3

Liwalo na liwe.
 
Huyu Muhindi anadawa aisee
Nimebet mechi 20
Mechi 2 tu zimenichania.
Ipo siku yake tu. Dadeek
 
Ok kama ndio maana yake basi kwa wale wavivu wenzangu wa kuchambua kutokana na kuchoka na vipigo vya Kanji Lanji karibu ni ktk option hii ya kusubiria hii dakika moja ktk mechi nzima ili kuchukua mpunga wako.Hasa katika game za wababe wa pasi km Barca vs Sevilla leo.
Odds zake mi naona km za kumwaga na dakika sio kubwa but yote yaweza kutoka.
Sio rahisi kiivyo mkuu,

Ni mpk uwe unacheck game live ndo utaweza kufanikiwa kw hii option

Vinginevyo, ukifanya kutupa jiwe gizan utaumia
 
In play

Laliga

Eibar vs Getafe

Corners: Eibar over 3.5 at fulltime

Odds: 1.65
 
Mzihoompyaa mdahuu
All d best
Screenshot_20180421-153347.png
Screenshot_20180421-153334.png
Screenshot_20180421-153326.png
 
MZIGOOO MWINGINE WA JANA HUOO [HASHTAG]#BOOOOOOOOOOM[/HASHTAG] KAMA ULIFWATA CONGS

NIMEKUWEKEA NA WALEOO JMOSI NJEMA
 
Attachments

  • Screenshot_20180421-153253.png
    Screenshot_20180421-153253.png
    42 KB · Views: 37
  • Screenshot_20180421-153301.png
    Screenshot_20180421-153301.png
    33.6 KB · Views: 41
Wakuu leo sina mbwembwe kabisa nimeweka kamkeka Ka team mbili tu.

Stake Mlima.

Barcelona - Sevilla
1X2: W1
1.45

Salford City - Boston United
1X2: W1
1.58

Yajayo yafurahishe yasifurahishe potelea mbali
 
Wakuu mwenye odds 500 za uhakika naomba uniwekee hapa leo nimeota namtusua muhindi pesa ndefu

500+ Odds

1. English Championship
Cardiff vs Nott'm Forest
pick ~ Cardiff
1.44

2. English Championship
Bolton vs Wolves
pick ~ Wolves
1.70

3. German Bundesliga
Hannover vs Bayern Munich
pick ~ Bayern Munich And Over 2.5 Goals
1.9

4. France Ligue 1
Guingamp vs Monaco
pick ~ Monaco
1.80

5. Scottish League Two
Elgin vs Peterhead
pick ~ Peterhead
1.50

6. Cyprus Division 1
Ermis vs Paphos
pick ~ Ermis
2.10

7. Austria Bundesliga
SV Mattersburg vs St. Polten
pick ~ SV Mattersburg
1.57

8. English National League South
Hemel Hempstead vs Eastbourne Borough
pick ~ Hemel Hempstead
1.53

9. Austria Bundesliga
Wolfsberger AC vs Sturm Graz
pick ~ Sturm Graz
1.75

10. Scottish Premier League
Dundee vs St. Johnstone
pick ~ Over 1.5 goals
1.44

11. Bulgarian A PFG
Botev Plovdiv vs Ludogorets Razgrad
pick ~ Ludogorets Razgrad And Over 2.5 Goals
1.85

12. English National League South
Dartford FC vs Bath City
pick ~ Dartford FC
1.66

13. Spanish Copa del Rey
Sevilla FC vs Barcelona
pick ~ Barcelona
1.40
 
Back
Top Bottom