Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mobdro hata NBA inapatikana?
Vipi kuhusu NHL na yenyewe ipo naweza kuwa naicheki live?
Maana ukiachana na futbol hiyo ndio michezo yangu ninayoipenda sana

Mwana kule kuna channels rundo, try it.

NBA iko kupitia ESPN 1, 2, NBA Tv, Sony etc (TNT sijawaona).

NHL siyo mshabiki, ila unaweza kuta ipo.
 
Uko wapi uo mkeka wako?Ebu just imagine ktk hizo team 20 ungeweka hapa alafu wale wa kuokota team mbili mbili au tatu si wangeweza kua wameokota katika hizo 18 ulizopata?Muwe mnaweka iyo mikeka humu ndio maana ya hili jukwaa. We ukiweka mkeka wa team 10, kuna mwengine wa style ya kuokota team chache anaweza kuokota chache na kumpiga muhindi hata kama wewe wako utachanwaa na team moja hivyo bado muhindi ataliwa
Nimekuelewa kiongozi
Nilibeti online. Najaribu inashindikana.
Yaani nimeudhika mno. Huwezi amini kiongozi nimekwazika bhaasi tu
 
Mobdro hata NBA inapatikana?
Vipi kuhusu NHL na yenyewe ipo naweza kuwa naicheki live?
Maana ukiachana na futbol hiyo ndio michezo yangu ninayoipenda sana
Na hii pia iko vizuri LIVE NetTv hata kwenye 3G network inasukuma
Screenshot_2018-04-21-22-34-00.jpg
Screenshot_2018-04-21-22-34-48.jpg
Screenshot_2018-04-21-22-36-09.jpg
 
Najuta kuifahamu timu QUMER kama AC Milan. Kuanzia leo Italy nitakuwa nabetia timu 3 tu: Juve, Roma & Napoli. Leo hii miku*** AC Milan imesepa na mtaji wangu wote. Hawa wase.nge watakuwa wamebet sio bure. Watafungwaje na timu iliyoshuka daraja?

Anyway, kesho nayo siku. Usiku mwemeni machief wote.
 
WaITALY wasnge sanaa sijui nao wanachezaga kamali.. Yaan milan wakushindwa kumfunga benevto hata goli mojaa
 
Back
Top Bottom