sule Genius
Member
- Sep 6, 2014
- 70
- 18
Mkuu. Site gani hii? Uchambuzi wao unachembechembe bainifu za ukweli, sio mawakala wa Mla pilipili hawa. Wako vizuri. Nijuze niwe nawatembelea mkuu.4WOOOOOOON /5
WALIOCHAMBUA CONGSView attachment 754120

Sofa score, na Fotmob jaribu hizo huenda zikakufaaWadau ni App gani inaonesha kikosi line up kabla ya mpira kuanza?
Mfano nikitaka kutizama kikosi cha timu zinazocheza leo
Karibia livescore zote, ila huwa vikosi halisi vinatoka nusu saa kabla ya game au lisaa.Wadau ni App gani inaonesha kikosi line up kabla ya mpira kuanza?
Mfano nikitaka kutizama kikosi cha timu zinazocheza leo
FLASHSCOREWadau ni App gani inaonesha kikosi line up kabla ya mpira kuanza?
Mfano nikitaka kutizama kikosi cha timu zinazocheza leo
YAn hata mm ndo hvyo hvyo yan naangaika knoma anhabari wakuu najaribu kutoa pesa kutoka 1xbet inagoma nafanyaje?????
YAn hata mm ndo hvyo hvyo yan naangaika knoma an
Mimi nimetoa kama dakika kumi na tano zilizopita hivi, Unatakiwa tu ukishafanya withdraw procedure angalia pale kwenye status kama imekuwa approved then wait mzigo hauchelewiMsaada Wakuu kwa wale wanao tumia tumia app ya 1XBET msaada nahtaj kudraw pesa kwenda kwny Mpesa inazungua hata sielew kwann msaada wakuu
Nmejarbu mbk xah kmya cm haipgwiMimi pia nimehangaika nao toka week jana, ila walichoniambia hakikisha namba unayotaka kutolea hela ndiyo hiyo hiyo ulijisajilia nayo, vile vile kama ndiyo hiyo na ni mara yako ya kwanza basi tafuta kwnye website yao sehemu inaitwa Callback weka namba yako ya simu ile uliyojiandikisha nayo wakati wa kufungua kampuni, then watakupigia na kukupa hiyo SMS code. Mwambie na mshikaji yule mwingine.
SofascoreWadau ni App gani inaonesha kikosi line up kabla ya mpira kuanza?
Mfano nikitaka kutizama kikosi cha timu zinazocheza leo
Hapo kwa Everton,View attachment 754219Msaada hapo nataka kulipuka muda huu
Duh!Wew kampun inaoption hazifik 30 na mwishi wa stak ni 100000 tuu sas kwel hiy ni kampuni au tatu mzuku tuu