Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau ni App gani inaonesha kikosi line up kabla ya mpira kuanza?

Mfano nikitaka kutizama kikosi cha timu zinazocheza leo
 
Wadau ni App gani inaonesha kikosi line up kabla ya mpira kuanza?

Mfano nikitaka kutizama kikosi cha timu zinazocheza leo
Karibia livescore zote, ila huwa vikosi halisi vinatoka nusu saa kabla ya game au lisaa.
 
Msaada Wakuu kwa wale wanao tumia tumia app ya 1XBET msaada nahtaj kudraw pesa kwenda kwny Mpesa inazungua hata sielew kwann msaada wakuu
 
Mfano hawa 1bet wana hii option ya "Prayer score goal any time"" alf some time wanaweka wote so nikitizama kwenye line up nikimuona huyo mchezaji hayupo na kule 1bet wamemuweka bet itakua win or?
 
YAn hata mm ndo hvyo hvyo yan naangaika knoma an

Mimi pia nimehangaika nao toka week jana, ila walichoniambia hakikisha namba unayotaka kutolea hela ndiyo hiyo hiyo ulijisajilia nayo, vile vile kama ndiyo hiyo na ni mara yako ya kwanza basi tafuta kwnye website yao sehemu inaitwa Callback weka namba yako ya simu ile uliyojiandikisha nayo wakati wa kufungua kampuni, then watakupigia na kukupa hiyo SMS code. Mwambie na mshikaji yule mwingine.
 
Msaada Wakuu kwa wale wanao tumia tumia app ya 1XBET msaada nahtaj kudraw pesa kwenda kwny Mpesa inazungua hata sielew kwann msaada wakuu
Mimi nimetoa kama dakika kumi na tano zilizopita hivi, Unatakiwa tu ukishafanya withdraw procedure angalia pale kwenye status kama imekuwa approved then wait mzigo hauchelewi
 
Nmejarbu mbk xah kmya cm haipgwi
 
Wew kampun inaoption hazifik 30 na mwishi wa stak ni 100000 tuu sas kwel hiy ni kampuni au tatu mzuku tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…