Jaman huyu jamaa vip au ni tapeli tuuView attachment 754603
karibia 85% kama sio 90 kabisa ya mikeka yake ameshinda kwa single bet yuko vizuri.Ili kujiridhisha
Ni vema kumfatilia kwanza kwa tahadhari ya stake ndogo ndogo.
Washapigwa 3 na kitimu cha hovyo huwezi amini
Fenehbahce???Mpwaaaa kampe Bache OV 3.5/4.5 nawin ukiliwa ntalipa
We acha tu.Timu za kirusi huwa sizipendi automatiki
INPLAY
FENEB .2 HALF OV 1.5
FT OV 3.5 /4.5
HME WIN
CYA N LANDING
View attachment 754219Msaada hapo nataka kulipuka muda huu
View attachment 754257Weka nyumba ya family
Athletic Bilbao mwanzo wangu na mwisho wangu leo,,,,,,mafalaaa hao