Hii app ili uipakue inahitaji ulipia hiyo garam a hapoMasada jamani nataka kupakua hii app playstore wananiletea inter credit or debit card msaada jamaniView attachment 756983
Nsaidie namna ya kuingiza cradit na debit ili nipakue Kama hii play store imenishindaDah!!... Yote maisha tu...
Ngoja tuendelee na harakati za maisha... Mengine yameshapitaView attachment 756879View attachment 756880
Naomba nisaidie jinsi yakulipia maana nafika mpaka sehemu ya credit na debit card ndipo sijajua nazipatia wapi hizo credit na debit card nsaidie tafathali Kama unajuaHii app ili uipakue inahitaji ulipia hiyo garam a hapo
Nipo mkuu tena nilitamani sana kukusaka ila mtandao ukawa mbayaYule wa jana aliyenipa bet tip kwamba Bayern V madrid ov10.5 corner ajitokezeee, na leo naomba odds 2 za uhakika mtoa odds atalamba 10,000
Ila jana ulizingua hukunipa odds 2 sasa itapungua, njoo inboxNipo mkuu tena nilitamani sana kukusaka ila mtandao ukawa mbaya
Ook Usijali.Ila jana ulizingua hukunipa odds 2 sasa itapungua, njoo inbox
Brothers ntakufa na Madrid
Odds: 3.0
Liwalo na liwe
Nikijilipua pia sema nilijichanganya na vitimu vya chini bet ikawa lost...[emoji819]️[emoji819]️[emoji819]️
Nikijilipua pia sema nilijichanganya na vitimu vya chini bet ikawa lost...
Ila leo salzburg anamfunga marseille nyumbani....
Unatumia kadi gan ya bank?Naomba nisaidie jinsi yakulipia maana nafika mpaka sehemu ya credit na debit card ndipo sijajua nazipatia wapi hizo credit na debit card nsaidie tafathali Kama unajua
Nataka odds 3 za uhakika kabisa 101% nataka kutia mpunga wa maana kabisa, atakae toa za kweli dau atapata.
Mpe Salzburg anashinde na yapatikane Magoli zaidi ya 3 point 8.4 na pia wape Arsenal na AT wape GG wafungane
Hapo kwa Salzburg ngumu kumeza aisee