Balozi wa Dodoma
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 477
- 177
Leo nimeota wapeni handcap juve,napoli na benfica.. Buku inaleta 34,133
Ngoja tukopi, nitacheki kwa dola inatoka ngapi..
naona jana mabaharia wenzako wamekufa kifo cha mende pale O.T jana.
piga olympiacos kama mbwa jana bado west ham kisha man city anakuja tena theatre of dreams!
rahim hujitokezi kushabikia man hadi tushinde!
Sasa bora tupangiwe na nani mbona wote majanga!
Afadhali dortmund au atletico wamekua maboya tu kama sisi..
Leo nimeota wapeni handcap juve,napoli na benfica.. Buku inaleta 34,133
mkipangwa na madrid au bayen mkaanzia ugenini siku hiyo nawaua kwa cap tena dau buku 10
Maneno yako hayo, ohooo mi nanukuu tuu...
Karibuni tuinvest katika soko la hisa la betting... Iwe meridian,m-bet,ladbrokerz, iplay8casino n.k.
hii ni haramu, haramu, haramu....
View attachment 146303
uuh hatimaye na mimi ka accnt kameanza kunonaa .