Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ahsante asrams mimi leo nampa Barca na Bayern aisee
 
Last edited by a moderator:
habari wakuu,
naomba msaada wenu katika tatizo langu hili! nimefuatilia kwa muda mrefu thread hii na nikafanikiwa kujiunga na iplay8casino na nimekuwa nikicheza for fun. sasa toka jana nimeshindwa kuweka betting kwenye sports betting wakati mwanzoni ilikuwa inakubali vizuri tu na kuna wakati nilikuwa nashinda na wakati mwingine nashindwa. sasa jana nimeweka bets ikaniambia error 104 na mpaka leo hii siwezi kuingia katka hiyo page ya sports betting. japokuwa michezo mingine naweza kucheza bila shida. je tatizo hilo naliondoaje?
naombeni msaada wenu wadau!
 
Ndomana huu mchezo ni Haram, mzigooo wangu umeenda lijojo
 
asrams pole bana ila uliambiwa mapema kuhusu barca. Jichange tena. Mie wajinga sana hawa barca wamenitia hasara tena kwenye mkeka wangu
 
Last edited by a moderator:
asrams pole bana ila uliambiwa mapema kuhusu barca. Jichange tena. Mie wajinga sana hawa barca wamenitia hasara tena kwenye mkeka wangu

Naam niliambiwa ila deep inside woote tunajua barca ktk stage ile wasingeweza wekwa kwapani,
 
Last edited by a moderator:
Capture33333333.PNGmkeka wa leo
 
Back
Top Bottom