theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Naomb maelezo ya multicornerPesa hiyo hapo
Naomb maelezo ya multicornerPesa hiyo hapo
Nitakuwekea leo mkuuMkuu kwanin hukuiweka tangu jana.ili tuipitie
Sawa mkuuNitakuwekea leo mkuu
Safi sana, tena hao wa mama wa england hadi 3.5 over wanatoa....yani wamama hawaniangushagi hata siku moja. ngoja niusuku wa wamama flani iviWeka chochote hapaView attachment 874970
Cap huku ni Over mfano 1.5 hiyo atoke goli 2, 2.5 goli 3, 3.5 goli 4Jaman nimeweka ap ya 1xbt lkn options za cap sijazielewa naomba mfafanuo kidogo afu jinsi nilivyojisajili nimeandika namba ya simu na currency nipo sahihi apo wakuu pia naitaji kujua how to deposit payment
Hamnaga option ya kifala kama ov 1.5 manina kbx[emoji23][emoji23]View attachment 874610
Imelipa[emoji3][emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja niruke nayo
Nielekeze hiyo bro daaaahKwanini hamchezi system bet, naona kama inasaidia maana hata mpuuzi mmoja akichana still unapata cash
Mkuu, tugawane bilion moja ya janaSafi sana, tena hao wa mama wa england hadi 3.5 over wanatoa....yani wamama hawaniangushagi hata siku moja. ngoja niusuku wa wamama flani ivi
Unazidisha kona za utayekuwa umempa... Kama Mfano psg multicorner over 7.5 ... Inachukua kona za psg kipindi cha kwanza Unazidisha na kona za psg kipindi cha pili zikivuka 7.5 umekula... Ikipungua umeliwamkuu multi corner ndo inakuaje?
Kweli asee kuna team nimeipa kuwin ina odd 3 cha kushangaza ya ov1.5over imezinguaLigi nyingi Jana ndio ilikuwa siku ya magoli, lakini leo tangu asubuhi mechi nyingi zinasuasua... Magoli machache leo
Pesa hiyo hapo
Kuna multicorner AINA mbili moja ni ya Mechi nzima unachukua kona za kipindi cha kwanza Unazidisha na kona za kipindi cha pili utapata Kama ni under ama over. Kuna AINA ya pili multicorner kwa timu husika tu Mfano psg unachukua kona za psg kipindi cha kwanza Unazidisha na kona psg Zach kipindi cha pili jibu utalopata utaangalia ni over ama underNaomb maelezo ya multicorner
Nimeshatoa maelezo Pitia Pitia juu kidogoNieleweshen Maana ya multi corner wakuu