Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jaman nimeweka ap ya 1xbt lkn options za cap sijazielewa naomba mfafanuo kidogo afu jinsi nilivyojisajili nimeandika namba ya simu na currency nipo sahihi apo wakuu pia naitaji kujua how to deposit payment
Cap huku ni Over mfano 1.5 hiyo atoke goli 2, 2.5 goli 3, 3.5 goli 4
 
[9/23, 12:11 PM] Prince Charming GEM: B. LEVERKUSEN WIN
PSV WIN OR DRW
2+
MAXBET
[9/23, 12:11 PM] Prince Charming GEM: SIVASPOR GG
MARSEILE GG
2+
MAXBET
[9/23, 12:11 PM] Prince Charming GEM: 3+
PSG 2/2
Barcelona win
Maxbet
[9/23, 12:11 PM] Prince Charming GEM: JUV GG+OV2.5 (3+)
MAXBET
 
Pesa hiyo hapo
Naomb maelezo ya multicorner
Kuna multicorner AINA mbili moja ni ya Mechi nzima unachukua kona za kipindi cha kwanza Unazidisha na kona za kipindi cha pili utapata Kama ni under ama over. Kuna AINA ya pili multicorner kwa timu husika tu Mfano psg unachukua kona za psg kipindi cha kwanza Unazidisha na kona psg Zach kipindi cha pili jibu utalopata utaangalia ni over ama under
 
Sijawahi kuona litimu QUMER hapa duniani kama Man UπŸ˜³πŸ™„πŸ˜‘πŸ˜‰

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…