Maujohnsimba
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 252
- 228
Pole mzee baba..basi endelea kutembeza bakuli uenda kuna msamaria atakuonea huruma..Niko field awalipi mzee
Nilikuta game ipo quarter ya 3 dk ya 9 huyo uliyempa handicap ya 22 nikampa handicap ya - 5.5..... Wakati huo huo akiwa anaongoza kwa vikapu 5 nikajua ndiyo huyu huyu.. Kuja kuchek nikakuta kumbe ulimtanguliza kwa vikapu 22.5Ume copy vipi
PoleNilikuta game ipo quarter ya 3 dk ya 9 huyo uliyempa handicap ya 22 nikampa handicap ya - 5.5..... Wakati huo huo akiwa anaongoza kwa vikapu 5 nikajua ndiyo huyu huyu.. Kuja kuchek nikakuta kumbe ulimtanguliza kwa vikapu 22.5
Your balls are safe! WOOOOOOON!Indonesia Liga 1: Bali United v. PS TIRA
Tip. Over 1.5
Norway Div.2: Stabaek v. Atta
Tip. Over 1.5
Czech: Slovan v. Sparta Prague (U21)
Tip. Over 2.5
Czech: Pribram U21 v Mlada U21
Tip. Over 2.5
*ODD 2.10*
*Stake your balls*
Tupia codeWenye imani hela ziko hapa leoView attachment 876519
Broh kopi tu hizo tim chap chap ni chache.Tupia code
Mkuu hiyo ni Man U win, sasa huyo mshenzy ndio akawa ametoka droo na kuniharibia kila kitu.Mkuu si hiyo umeweka sare au cjaelewa hapo.
Kabisa hapa tushirikishane mkuuNina mpango WA kutafuta bilioni 1.8 kama zile za akina Lugemalira kupitia betting kuanzia tar 1 mwezi ujao kwa kutafuta odds 2 kila siku. Mtaji 10,000. Nimefanya utafiti kwa wiki 2 nimeona inawezekana kwa 70 ukiacha tamaa.
Kuishinda tamaa haiwezekani. Dawa ni kuwa na akaunti 2. Ya tamaa na ya uwekezaji.
Samahani naipata sehemu gani hiyo code mkuu?