Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Samahani naipata sehemu gani hiyo code mkuu?
Mkuu hiyo code ndo inayoonekana hapo kwenye attachment unaikopi pembeni kisha unaingia 1xbet kisha juu kushoto kwenye menu bonyeza halafu shuka mpaka palipoandikwa bet slip then bofya tena bofya bet slip inayotokea chini yake.

Itakupeleka kwenye page iko plain ila kwa juu kulia kuna kiboksi kiko na kimshale juu ya neno bet kisha bofya pale itakuletea option 2 chini DOWLOAD BET SLIP NA SAVE BET SLIP

chagua download kisha itakuletetea sehemu unaingiza hizo codes kisha ok then unakuja mkeka ww unaulipia.Ukitaka unatembelea au unaufanyia editing unazotaka then unaulipia.
 
Nina mpango WA kutafuta bilioni 1.8 kama zile za akina Lugemalira kupitia betting kuanzia tar 1 mwezi ujao kwa kutafuta odds 2 kila siku. Mtaji 10,000. Nimefanya utafiti kwa wiki 2 nimeona inawezekana kwa 70 ukiacha tamaa.
Kuishinda tamaa haiwezekani. Dawa ni kuwa na akaunti 2. Ya tamaa na ya uwekezaji.
Tuko pamoja mkuu nami na wazo hilo hilo
 
Nina mpango WA kutafuta bilioni 1.8 kama zile za akina Lugemalira kupitia betting kuanzia tar 1 mwezi ujao kwa kutafuta odds 2 kila siku. Mtaji 10,000. Nimefanya utafiti kwa wiki 2 nimeona inawezekana kwa 70 ukiacha tamaa.
Kuishinda tamaa haiwezekani. Dawa ni kuwa na akaunti 2. Ya tamaa na ya uwekezaji.
Chief Hakuna kazi ngumu Duniani kama kubet
 
Leo nataka nishuhudie haya maajabu ya hii biashara ya ununuzi wa mechi aisee maana huyu mrusi kagoma kupanda dau kwenye mkeka wa

ODDS 65+ game zote zimetiki kasoro game moja ambayo inaanza muda si mrefu ambayo nimeipa option hii

Sotra vs Brann II

1X (Double chance)- First half.

Ila jamaa yeye kakomaa anunue kwa 2000 na mie nimeweka stake ya 1000 toka Jana kaganda hapo hapo na mm nikasema kama kufa na ufe tu.
 
Ngoja nikusaidie kufanya Maombi ili Jamvi litiki mkuu
 
Leo nataka nishuhudie haya maajabu ya hii biashara ya ununuzi wa mechi aisee maana huyu mrusi kagoma kupanda dau kwenye mkeka wa

ODDS 65+ game zote zimetiki kasoro game moja ambayo inaanza muda si mrefu ambayo nimeipa option hii

Sotra vs Brann II

1X (Double chance)- First half.

Ila jamaa yeye kakomaa anunue kwa 2000 na mie nimeweka stake ya 1000 toka Jana kaganda hapo hapo na mm nikasema kama kufa na ufe tu.
Sijakuelewa mkuu
 
Sijakuelewa mkuu
Mkuu Net Sotra ni mbabe zaidi ya Brann II na kwenye ligi yupo nafasi ya2 huku Brann akiwa nafasi ya 5 afterall Sotra yupo home ground lakini yote tisa nimempa option ya 1X firs half yaani ashinde au asuluhu hicho kipindi cha kwanza sasa ndo nimekuwa nikijiuliza kuna nn mpaka mrusi ashindwe kupanda dau wakati imebaki hiyo game moja tuu?
 
Nilichokiona sitaki kuamini macho yangu jamani yaani hakuna livescore inayoonyesha game hii japo ipo kwenye list lakini naingia 1xbet naikuta ipo dk 43 Sotra kapigwa 1 so mkeka umeshapasuka kwa kifupi.
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
1537808274293.png
 
Nilichokiona sitaki kuamini macho yangu jamani yaani hakuna livescore inayoonyesha game hii japo ipo kwenye list lakini naingia 1xbet naikuta ipo dk 43 Sotra kapigwa 1 so mkeka umeshapasuka kwa kifupi.
Pole sana mkuu kuna wakati huwa nahisi huu mchezo unatawaliwa na nguvu za giza yani watu wanajua nn kinachoenda kutokea kabla ya game,ndio maana hata hawakujisumbua kuongeza dau ili kukushawishi ununue sababu walijua hutoboi.
 
Nilishtuka Nikausell Kwa 230000 maana mechi za mchana 20 zote zilitiki nilifanya hivyo maana niliona kuna mechi dakika ya 56 0.0.
Mkuu hii ni kampuni gani inayoruhusu kusell wakati mchezo unaendelea?
 
Back
Top Bottom