Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
mkuu wewe ni mzoefu kwenye hii biashara kosa ulilofanya moja tu ambalo mimi ningekuwa nisinge kosa kote. wewe umeona imebaki timu moja. ungeiendea hiyo mechi na efu kumi mkononi ukaipa iyo nyingine win or over 0.5 ht. odd zingekuwa si chini ya 3. kwa hiyo timu kushinda ht. ungepata kidogo. kama angechana ungepoteza 10000, lakini ungepata odd 65.Mkuu Net Sotra ni mbabe zaidi ya Brann II na kwenye ligi yupo nafasi ya2 huku Brann akiwa nafasi ya 5 afterall Sotra yupo home ground lakini yote tisa nimempa option ya 1X firs half yaani ashinde au asuluhu hicho kipindi cha kwanza sasa ndo nimekuwa nikijiuliza kuna nn mpaka mrusi ashindwe kupanda dau wakati imebaki hiyo game moja tuu?
mimi ndio huwa nafanyaga nikiona imebaki match moja tu kwenye mkeka