Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaa, halafu sijui Kwa nini timu zenyewe hazitaki kubeti.. wanajipangia wao matokeo tu. wachezaji wote wanatandika mikeka
mkikubaliana FT 2-2 wewe unabet zako tu GG&OVER 2.5 unasubiri mzigo
 
Jamani wazee nimekuja kuwaaga kutoka 1x bet,maan mrusi amenipiga sana,naona hizi option zake nyingi na zinanichanganya kunila pesa zangu mingi,sasa nimerudi mbet ambaka nilikua nakula pesa sana kabla ya mrusi kuniteka,nitazimis zile code za 1xbet lakini ngoja niende tu mbet ambako hakuna inplay,no cashout na nikusubiri pesa baada ya masaa mawili hivi ili ulipwe,maamini pesa zangu ziko mbet,mrusi nimemnyoshea mikono juh,sio kwa vipigo hivi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119],kwa heri mrusi mungu akulinde,maisha mema[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137],sem wadau bado tuko pamoja tu,sema nimeamua kurudi mbet tu na kuacha kubet waniue tu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23] kuna mfumo nimetumi kuna timu nimeipa sasa imekaribia kuisha jamaa wa team ya pili wakachomoa ngoma ikawa draw sasa nimeweka stake high ya draw hapo sijui mrusi atachomokea wapi hahahah
 
Hapo shikilia pumbu vizuri mzee, yaan unaweza zunguka room nzima
 
Jamani wazee nimekuja kuwaaga kutoka 1x bet,maan mrusi amenipiga sana,naona hizi option zake nyingi na zinanichanganya kunila pesa zangu mingi,sasa nimerudi mbet ambaka nilikua nakula pesa sana kabla ya mrusi kuniteka,nitazimis zile code za 1xbet lakini ngoja niende tu mbet ambako hakuna inplay,no cashout na nikusubiri pesa baada ya masaa mawili hivi ili ulipwe,maamini pesa zangu ziko mbet,mrusi nimemnyoshea mikono juh,sio kwa vipigo hivi[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119],kwa heri mrusi mungu akulinde,maisha mema[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137],sem wadau bado tuko pamoja tu,sema nimeamua kurudi mbet tu na kuacha kubet waniue tu[emoji120][emoji120][emoji120]
Ok mkuu ngoja cc tujaribu kuzirudisha pesa zako kutoka kwa mrusi kuja kwetu
 
Karibu na Sportpesa
 
Back
Top Bottom