Pablo 119
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 1,520
- 1,969
Niweke bei gn hapaTukutane October.View attachment 876952
Niweke bei gn hapaTukutane October.View attachment 876952
mkuu asiye shukuru ni kafiri
let me do something here!
Niliufuata mbili za mwanzo, lkn zote zimetoa.Wenye imani hela ziko hapa leoView attachment 876519
Kuna hyo nyngn Away au Home team imalize na vikapu vingap niww tu usiwe na tamaa maana tim nyingi znafnganaMmmh endelea nipe ujuz ila ip ambayo si risk
Aaah ok nduguKuna hyo nyngn Away au Home team imalize na vikapu vingap niww tu usiwe na tamaa maana tim nyingi znafngana
Eb screen shot nione inavyokuaKuna hyo nyngn Away au Home team imalize na vikapu vingap niww tu usiwe na tamaa maana tim nyingi znafngana
Wewe tu mkuu, pia unaweza kuuedit upendavyo.Niweke bei gn hapa
Live nimempaWewe tu mkuu, pia unaweza kuuedit upendavyo.
Yale yale ya mtihani. Pale unapokuta mpaka vilaza wamefaulu mtihani wa hesabu. Pamoja na kuwa kama mwalimu utakosa ushahidi WA kuwatia hatiani, lakini lazima utajua umechezewa mchezo mchafu. Kama mdau alivyosema hapo nyuma kuwa jamaa kwenye t&c wameshasema wakihisi udanganyifu, betslip zinakwenda na maji bila maelezo.waone kuna watu kama 70 hivi wamebet correct score kutoka nchi moja? lazima washtukie mchezo
Ni kweli. Bora kuchimba mawe kuliko kubeti. No ngumu Sana Sana.Ila kusema ukweli, hii tasnia ya kubeti ni kazi ngumu saana kuliko hata kubeba zege