bazl
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 446
- 599
Mkuu nashukuru nimefanikiwa kakaNenda setting then reject bonus....happy withdrawal!
Mkuu nashukuru nimefanikiwa kakaNenda setting then reject bonus....happy withdrawal!
Angalia kuna bar ndefu iviNaona bado mkuu, nime reject lakini wapi
Nenda setting then reject bonus....happy withdrawal!
Hii hapa mkuu [emoji116] [emoji116] [emoji116]Weka code niicopy aisee!
Wakuu msaada hata mimi yamenikuta aisee....hizi terms ni zipi na ni namna gani tunaombeni msaada tuweze kutoa mikwanjaView attachment 877078
nishajaribu sn kuweka timu zinachana nimeacha yan unakuta timu ina odd 1.05 inachana ya mm mwisho 5-8 naweka mzigo ntachamua mkeka wako tu
Tennis options zip?Wazee mi nilisha achaga kubet Footbal sio kwamba ni new comers ila nilikuwa legendary wa ku lose nilisha jaribu kubet kona wapi nikajaribu kadi wapi nikajaribu magoli wapi..kila option nilijaribu mpaka timu moja moja yaan single bet ila kwenye timu 14 niliwin 5 nikaona niache ila now nimeamia inplay Tennis [emoji462] wazee huku kumenoga muwe mna test na nyie kama leo Asubuhi nimecheza saiz hizo
View attachment 877198
Wazee mi nilisha achaga kubet Footbal sio kwamba ni new comers ila nilikuwa legendary wa ku lose nilisha jaribu kubet kona wapi nikajaribu kadi wapi nikajaribu magoli wapi..kila option nilijaribu mpaka timu moja moja yaan single bet ila kwenye timu 14 niliwin 5 nikaona niache ila now nimeamia inplay Tennis [emoji462] wazee huku kumenoga muwe mna test na nyie kama leo Asubuhi nimecheza saiz hizo
View attachment 877198
Tennis options zip?
Usisite kutuwekea code number nasi tucopy Kiongozi
Mbn me niliewka double chance na zote zkashinda ila mkeka ukachanikaSTAKE HIGH LETE MREJESHO (Kontinental Ice Hockey)View attachment 877101
Yan paka mida hii awajatupia changuHapana sio matapel kuwa nautulivu