Le Professor
Member
- Sep 25, 2018
- 57
- 80
MmmhMbn me niliewka double chance na zote zkashinda ila mkeka ukachanika
WapigieYan paka mida hii awajatupia changu
Nimewapigia wanasema nisubir kwaiyo wanataka leo nisibetWapigie
Inabidi ku bet mechi ambazo zipo kwenye live score tuuBasi tu possibly na yeye ni participant ktk biashara hii ya ununuzi wa mechi so tutakuwa tunatwanga maji kupambana na mbabe ambaye anatuwekea baadhi ya games ambazo anajua ameshazifix.Japo sina uhakika but he's somebody not to be trusted to that much
..tupia limkeka alilopigwa
Asante mkuu huu mkeka niliufuta nikachagua timu tatu dah imenitoa kimasomaso
hawa jamaa mi nilishaacha zamani sana, kwa online princess bet au m bet ndonawaaminiaEt paka saiz awajanilipa premier bet naanza kua matapel View attachment 877039
Daaah aiseehawa jamaa mi nilishaacha zamani sana, kwa online princess bet au m bet ndonawaaminia