Hongeraa mzee wa 2 oddsJana nilijikuta Sheikh Yahaya.....
Kokoro la 20 teams limetiki..View attachment 877135
yah inavotakakiwa kokolo usilizingatie sana.nishajaribu sn kuweka timu zinachana nimeacha yan unakuta timu ina odd 1.05 inachana ya mm mwisho 5-8 naweka mzigo ntachamua mkeka wako tu
Mkuu unasuburi 7K kwa buku 10 sasa hapo si umepata hasara ya 3000 au mimi sijaelewa 7K??Nimeamini pamoja na kuwa beting ni bahati, ila tamaa ina sehemu kubwa sana kuharibu upatikanaji wa fedha...
Toka jana sijaweka mkeka mrefu..
Nikaamua kuingia inplay nafuatilia match then nachagua option kulingana na matokeo... Nikaonda si haba kabisa, Hapa bado niko nasubiri mwingine mmoja wa 7k kwa buk 10
Mzee mwenzangu ni Typing Error Bablai, Ni laki saba na hele kidogo...Mkuu unasuburi 7K kwa buku 10 sasa hapo si umepata hasara ya 3000 au mimi sijaelewa 7K??
Tena kwa sasa , ligi kuu bara, haina mdhamini hivyo timu zinajitegemea,Hivi na sisi hatuwezi kununua game moja ya hapa bongo Kwa bilioni moja? Na tunapanga matokeo kabisa, halafu kila participant anaweza stake hata ya mil 1,tunambabua mrusi vya kutosha
Nimekukubali japo nliogopa kuwekaWenye imani hela ziko hapa leoView attachment 876519
Pdidy naaminigi sana mikeka yako
Yaap, ila hiz nahis ni AppPdidy naaminigi sana mikeka yako
Yaap, ila hiz nahis ni App
Oh hiyo imekaaje janjaa