Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1537943385192.png
 
NAOMBENI MWONGOZO HAPA,HIZI OPTION YA PENATI NIELEWESHWE:

Screenshot_2018-09-26-09-46-19.png
Kwa mfano hii mechi ya West Ham United NO Team 2 To Score Penalty,,,,,,,,,,(Uelewa wangu timu ya Ugenini isipate penati) NIKO SAHIHI? Naombeni kwa anayeelewa anielimishe!
 
NAOMBENI MWONGOZO HAPA,HIZI OPTION YA PENATI NIELEWESHWE:

View attachment 878131Kwa mfano hii mechi ya West Ham United NO Team 2 To Score Penalty,,,,,,,,,,(Uelewa wangu timu ya Ugenini isipate penati) NIKO SAHIHI? Naombeni kwa anayeelewa anielimishe!
Yaani kwanza lazima penati itokee, kisha ndio hiyo option ifanye kazi... Yaani penati itakayopigwa aidha mpigaji apate au akose
 
Hiii option HAKUNA LOSS kwa jinsi nilivyoielewa ni kwamba ww umeweka WA NYUMBANI ASHINDE AU DRAW sawa, lakini kama akifungwa (away win) unarudishiwa hela yako (away win refund) Void ab initio
Mkuu unaamini kabisa mrusi anaweza kukuwekea option ambayo haimpi faida?yani hapati chochote kutoka kwako,nahisi utakua umeielewa tofauti mkuu
 
NAOMBENI MWONGOZO HAPA,HIZI OPTION YA PENATI NIELEWESHWE:

View attachment 878131Kwa mfano hii mechi ya West Ham United NO Team 2 To Score Penalty,,,,,,,,,,(Uelewa wangu timu ya Ugenini isipate penati) NIKO SAHIHI? Naombeni kwa anayeelewa anielimishe!
Bob option inasema TO SCORE PENALTY na sio TO GET PENALTY...

Next time soma maelezo vizuri before hujakurupuka..
 
Wakuu, msaada kuwithdraw 1xbet kupitia M-pesa, nafuata taratibu zote lakini hawanitumii code, tatizo nini?
 
Back
Top Bottom