Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 2,050
- 2,964
Subiri akurudishie stake yakoMrusi naona kashikilia kibubu,tehtehtehView attachment 884996
Subiri akurudishie stake yakoMrusi naona kashikilia kibubu,tehtehtehView attachment 884996
Hapa c.s zmetoa mbili. Ya city na juve. Nsni alifata wakuKila la kheri. Ukipata usisahau shukraniView attachment 884668View attachment 884669
Unamchinja mkuu hahahahaAcha nife na Madrid. Liwalo na Liwe.
Fingers crossed Mkuu.Unamchinja mkuu hahahaha
Msiba wa wengi harusi uongo?[emoji1] [emoji1]Aina shida ushanifata[emoji23][emoji23]..ila alaaniwe maccabi kwa kunilaza saa kumi na moja jioniView attachment 884997
Ndo ivo maana sasa nimeomba ata kusaidiwa kamtaji ila naona kila mtu kimya uku naona magreen tu yanapostiwaMsiba wa wengi harusi uongo?[emoji1] [emoji1]
Game ambayo nina wasiwasi nayo ni hii ya Man u.. hii game naiona draw kabisa aidha ya 0-0 ama 1-1, na nimeiwekea 2.5 over, ila nafsi haitaki kuiamini kabisa...Wakuu game zote za uefa ni over 2.5 bado hatujachelewa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] pumzika tu kwa leo mana nyota njema haionekani usikuNdo ivo maana sasa nimeomba ata kusaidiwa kamtaji ila naona kila mtu kimya uku naona magreen tu yanapostiwa
BET WOOOOOONINPLAY BASKETBALL
Alba Berlin vs Tofas
Third quater over 39.5 odds 1.43
Acha nijifariji na mkeka wangu nione nan mwingine atakae chana maana niliuamini sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] pumzika tu kwa leo mana nyota njema haionekani usiku
Gud sana kamanda nataka nirejee kambini asee nishakaa vacation ya kutoshaOi jasalu niajeee Tanika hapa from Betting Talents
mkuu hapo kwenye namba ya kumbukumbu 008009b inabdi uitoe hyo herufi b mwishon ili ibaki 008009 hapo deposits itakubali bila shidaAngalia hiyo nikifanya hivyo ....narudishiwa jibu muamala uliokosewa umerudishwa hao ni Airtel sasa nlienda kubadili nambaView attachment 884953
Kweli mkuu Mimi mwenyewe naona ila kipindi cha pili hali inaweza kuwa tofauti....ila Valencia akipata goli over lazimaGame ambayo nina wasiwasi nayo ni hii ya Man u.. hii game naiona draw kabisa aidha ya 0-0 ama 1-1, na nimeiwekea 2.5 over, ila nafsi haitaki kuiamini kabisa...