Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Imezingua kweliLazio ana red card hawezi fikisha hizo kona lazima atanichania tu
Sevilla, Villareal, Marseille, Dynamo Kiev wamezingua kinoma
1xbetOya mkuu hiyo ni app gani?
Betting:
Betis win
Ranger win
Arsenal win
Zenit win
Salzburg win
Chelsea win
Total odd 8+
Hongera mkuuView attachment 886994
Mwenye Livescore anichekie hii mechi
Usije ukawa kama Sambusa kavu tuu mkuu.Wazee wa kubet
Nipeni mkeka Nina kama kilo mbili apa...
Faida pasu pasu.
Kakimbia uko nikampiga huku laki 1
Hongera mkuu
N kweli sema sevila kanichania hata sjui kwanin nilimpa ushindChelsea over 2.5 mikeka mingi imeenda na maji bt aliefata hapa katia mfukon pesa# beti inahitaji uvumiliv na akili sana.
Hujafatilia vzr mzeee sevilla huwez mpa ushindi kwa krasnodar ambay anaperfom vzr kashinda game zaid ya 5 zote mzee ungeweka magor bt kmpa n risk sanaN kweli sema sevila kanichania hata sjui kwanin nilimpa ushind