bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Dah Mkuu timu imetuhanith sana yaani maana ni game iliyokuwa wazi sana kiasi kwamba ingekuwa jambo la ajabu kuiacha.View attachment 886973hauko mwenyewe mkuu odd 20+ naona zinapepea sevilla sina hofu but chelsea kupata goli 3 ishakuwa ishu now
But kiukweli leo hela ilikuwa nje nje sana sema nahisi papara na uchawi wa mrusi vimechangia sana kutupoteza maboya.