Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Eintracht Frankfurt 1 - 1 Lazio

aliyefuata bet woon hapa
1538681127610.png
 
Duh yaani timu moja tu inaharibu sherehe... Anawasaliti wenzake kumi na nne wenye won...

#kisicho ridhiki hakiliki
 
Ndo ipoje hyo nmeichek pale sijaielewa over ya 1 haf wanatoka 1 kwa 0
Hiyo option ukitoa over 1 goal alafu likafungwa moja tu unakuwa refunded. Kwamaana kwamba stake yako inakuwa mutliplied by 1. Hivyo kama uliweka 10,000 kwenye odds 1.3 za over 1 na likafungwa goal sio zaidi ya moja basi hiyo stake yako ikiwa multiplied by 1 ina maana unarudishiwa hela yako kama ilivyo.

Ni mbinu nzuri kwamaana kwamba likifungwa goli moja tu inarudishiwa hela ila likiingia la pili unakuwa umeshinda bet
 
Haaaah so unakuwa like ulitembea 2 coz unapewa ua money again
 
Back
Top Bottom