Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Milan ni wangese kulalake zao wapuuzi kbsa itabidi tu leo niache rasmi nimeshatimiza laki moja kamili ya kuliwa kila siku now its too much kmmmk
 
1538677616382.png
 
Milan ni wangese kulalake zao wapuuzi kbsa itabidi tu leo niache rasmi nimeshatimiza laki moja kamili ya kuliwa kila siku now its too much kmmmk
Yaaani timu za nyumbani naona znachezea vichapo
leo mngebet magoli..nangoja goli moja mechi ya arsenal nimwite eliza kesho tukeshe logde na captain morgan
 
Hahah jamani milan ananipa raha aise narudisha matusi yote kwakweli milan nyie slow but sure, kabaki tu sevilla ss nilimpa win nahisi ataniletea uhuni tu
 
6th day play single

ac milan vs olympiacos

total; home team 3+ odd 2.89

extra 2nd half over 1.5/highest scoring 2nd half odd 2+
ni siku ya sita leo nikiwa nimepoteza siku moja tu.

hongera kwa yule ambaye huwa tunawin wote


AC Milan 3 - 1 Olympiakos Piraeus (ht 0 - 1 ft 3 - 1)

bet woon odd 2.89 tumezichukua na odd 2+ pia tumechukua
 
Back
Top Bottom