Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila wakuu! Ukijufunza ku bet basketball in play hutojutia ! Ni tam sana hasa ukiwa na mtaji wa kati
 
Ila wakuu! Ukijufunza ku bet basketball in play hutojutia ! Ni tam sana hasa ukiwa na mtaji wa kati
Mimi napenda sana tennis yaani wanatoa odds zamaana ni mwendo wa kubeti set tuuuuu!
 
Corner ni option ya ajabu saana. Ni vyema niwaue Kwa under tu. Mechi ya AC Milan, nliweka over 4 lkn kipind cha kwanza kimepita bila hata corner Mbao za Mawe
 
Ngoja ninunue bando nitest mitambo maana sijabet leo tangu axubuh.
mimi napendaga team za korea kusini gem ngumu huwa nawapa HT under ya 1.5 na wanatoa kipindi cha pili ndio huwa wanafungana xana
 
Kwenye basketball unacheza kwa quarter zipo nne! Kitambo nshasahau ile rangi nyekundu yenye neno LOST
 
Yajayo huenda yakafurahisha. Half time hii ngoja nivute pumzi na safari 3 ili nisipate stresiii
 
Wazee wa direct win kuna hali gan uko mtaa wa pili[emoji53][emoji53]
 
Back
Top Bottom