Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi nilishamaliza kila kitu na juzi walinizawadia buku 5 ya birthday nikaibetia nikampiga, harafu kila wiki nawekewa kiasi cha pesa inategemea ni mikeka mingapi waliyobet member walioko kwenye channel yangu. Mwezi uliopita niliwekewa 100k kwa matunda affiliate program na kila siku nikiamka nikichungulia lazima kibubu nikute kimeongezeka. Sasa ni kampun gani zaidi ya 1x inaweza kukupa vitu vzuri kama hivi?
 
Yeah naona princess zipo hivi sportpesa kuna in play kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…