Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,157
- 7,822
mkuu teleza Odds 10+ special kwa ajili ako brother
View attachment 887549
Aksante mkuu
mkuu teleza Odds 10+ special kwa ajili ako brother
View attachment 887549
Teleza na opened ticket yangu..kama Complications ni mingiHalafu hii 1.1 huku 1xbet hakuna ....kuna zile kuanzia 1to 2
Hata mwenyew hua nashangaa kweli kweliMbona mimu natumia 1xbet ni mwaka na zaidi sijawahi kupata hizo changamoto!
Kikubwa wakuu zingatieni vigezo na masharti jamani. Huwezi kuweka hela tu alafu ukataka kuitoa bila kubet.
Pia hakikisha katika kufanya miamala yako unakuwa makini step by step.
Huwa najiuliza kwanini wengine mnapata changoto mimi sipati na kila siku nafanya miamala ya kuweka na kutoa.
Kwa kuwa hawajui mpiraYani huwaga mechi ikiwa ni Women Goli nyingi uhakika tena ukute Under ndio kabisaaaa maana wanafumuana migoli sio mchezo
Hizo ndio nzuri za kudownload pesaYani huwaga mechi ikiwa ni Women Goli nyingi uhakika tena ukute Under ndio kabisaaaa maana wanafumuana migoli sio mchezo
Correct Scores WADAU. Kila la kheriView attachment 887666
Poa. Leo nimefata 3 tu. Hzo zenye odds kubwa kuliko zoteAsante mkuu, hebu tujaribu
Ngoja ikukute sikuMbona mimu natumia 1xbet ni mwaka na zaidi sijawahi kupata hizo changamoto!
Kikubwa wakuu zingatieni vigezo na masharti jamani. Huwezi kuweka hela tu alafu ukataka kuitoa bila kubet.
Pia hakikisha katika kufanya miamala yako unakuwa makini step by step.
Huwa najiuliza kwanini wengine mnapata changoto mimi sipati na kila siku nafanya miamala ya kuweka na kutoa.
Bro kama hutojali naomba code ya hii tafadhali
Mkuu ukiweka inplay yoyote nitumie niandikie fasta namm nkatupie izo nzurIn play kumenoga wadau.View attachment 887542