Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Ila kama hutojali share tu mkuu. Atayeweza kuwahi atakushukuru.In play haina muda mrefu yaani ni bandika bandua, kama hapo namjibu mdau hapo juu fasta goli lishafungwa.
Ila kama hutojali share tu mkuu. Atayeweza kuwahi atakushukuru.In play haina muda mrefu yaani ni bandika bandua, kama hapo namjibu mdau hapo juu fasta goli lishafungwa.
Tatizo wengine wakiliwa wanakuja kunilalamikia inbox kana kwamba Mimi Ndiye nipo uwanjani.Ila kama hutojali share tu mkuu. Atayeweza kuwahi atakushukuru.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utabid ukacheze mkuuTatizo wengine wakiliwa wanakuja kunilalamikia inbox kana kwamba Mimi Ndiye nipo uwanjani.
No 4 kabakiza goal 1 tupige hela kama nyingine hazitazidishaTry punters 20+
View attachment 887512
Bro leo tunatokaje
Mi mwenyewe nilipata tatizo mara moja tu tu tena nilipodeposit hela ikakaa pending lakini nilirudishiwa na Tigo ndo waliiweka pending so hata M-LIPA muda mwingine tunawalaumu bure kumbe hela haijafika kwao.Mbona mimu natumia 1xbet ni mwaka na zaidi sijawahi kupata hizo changamoto!
Kikubwa wakuu zingatieni vigezo na masharti jamani. Huwezi kuweka hela tu alafu ukataka kuitoa bila kubet.
Pia hakikisha katika kufanya miamala yako unakuwa makini step by step.
Huwa najiuliza kwanini wengine mnapata changoto mimi sipati na kila siku nafanya miamala ya kuweka na kutoa.
Uwe unatupia mkuu hapa tunabahatisha tu ...wengine tukikomaa wenyewe ndo basi tena kipigo kila sikuTatizo wengine wakiliwa wanakuja kunilalamikia inbox kana kwamba Mimi Ndiye nipo uwanjani.
Kuna timu ya wanawake huko imefungwa vibaya vibaya
Welcome www.bikosports.co.tz/upcoming hutajuta. kwanza option ni nyingi wewe tu
Hapo palipojifichatia jero tu ujalibu bahati yako mimi nimeona iziView attachment 887598
Hivi hii naweza ipata kule 1xbet ...kama ndyo napataje
Nataka kujua kama 1xbet ipo hii
Ipo mi natumia 1XbetHivi hii naweza ipata kule 1xbet ...kama ndyo napataje
Hii ilinipita wapi
Ipo katika special betsNataka kujua kama 1xbet ipo hii