bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Dah imebidi nicheke tena maana sungusungu huishiwi vituko Mkuu,Hahahaha nakufananisha na yule mzee wa harakati kwenye gazet la SANI kwenye ile kona ya HARAKATI ZA PIMBI.maana mshkaji yy always mtu wa PIRIKA ZA UTELEZI lakini siku zote ndani ya Penalty box alikuwa anapaisha.Haha tulia ww nafanya trial yakuanza kuitumia 1xbet nmeambiwa iko vzuri game za live so nlifanya Ku deposit naku withdraw nione ikoje lkn ndo nakutana na majanga ayo