KipusaNDAMCHO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,572
- 1,464
yap wanakata sema ni fasta malipo kama message ya whatsap kwenye wifi ya NASA mkuu.ila hao si wanakata kodi?
yap wanakata sema ni fasta malipo kama message ya whatsap kwenye wifi ya NASA mkuu.ila hao si wanakata kodi?
Mrusi ni kampuni gani MkuuMimi zamani nilikuwa sportpesa, baada ya vichapo kutawala nikahamia kwa mrusi.
Huku nikarudisha hasara yangu. Sasa nikasema huyu nimemwonea, ngoja nirudi kule kule Sportpesa nikambandue yeye kama yeye, aisee nilichezea kipigo mfululizo hadi nikasema basi basi, nimekusamehe deni langu bwana!
Siku hizi nipo kwa mrusi na princes coz naona huku siliwi ovyo.
SASA HUONO KAMA UNAUMIA YANII KAMA ILIKUWA UPIGE LAKI UNALIPWA THEMANINIyap wanakata sema ni fasta malipo kama message ya whatsap kwenye wifi ya NASA mkuu.
kama apo walikula 48,595SASA HUONO KAMA UNAUMIA YANII KAMA ILIKUWA UPIGE LAKI UNALIPWA THEMANINI
Mbna game hazjaanzahawajawahi kuniangusha hawa wanawake. odd 15View attachment 887231
UJINGA SASA HUO MKUU YANI NA WEWE UNAENDELEA KUBAKI KWENYE KAMPUNI YA KIBWEGEkama apo walikula 48,595
View attachment 887384
Mbna game hazjaanza
Mmh maana mm jana nlitoa usiku saa6 mkuu nasijui napataje pesa yangu hadi sasaPole! Nami ilishatokea hivyo wakataka statment ya mpesa ambayo ni 7000 kuipata nami nilitoa 5000,dah! Nikaipotezea tu.Ushauri toa pesa 1xbet muda uliotulia sio siku ambazo mechi nyingi kali zinacheza
Kumbe naww hujapata pesa yako kutoka xbet mkuuMie hadi leo wiki ya pili sasa
1xbetMrusi ni kampuni gani Mkuu
Yote hayo yako sawa mkuu usizani Niko tofautiHutaweza kuwithdraw.
Ni lazima kiasi unachowithdraw kivuke kiasi cha last deposit.
Angalia message waliyokutumia.
natumia Sportpesa upepo wa princess ukiwa unazingua..so naswitch...so as long am making silose chochote..we keep on gambling for life..1Xbet ni tamu sema muda pia wakuanza tengeneza mkeka...unaangalia.UJINGA SASA HUO MKUU YANI NA WEWE UNAENDELEA KUBAKI KWENYE KAMPUNI YA KIBWEGE
NdioKumbe naww hujapata pesa yako kutoka xbet mkuu
Okay, piga no hii +441273256987 watakushughulikia fasta au piga 0222701845 uongee na waswahili wenzetu.Yote hayo yako sawa mkuu usizani Niko tofauti
II KAMPUNI YA XBET C SALAMA AISEE SASA MTU UKIWA NA MILIONI YAKO NDOIPOTEE KIZEMBE IV CWEZ ITUMIA TENA KAMPUNI KAMA II BORA PREMIER AU PRINCES NAWEZA WAPATANdio
Post namba 161247 kuna namba ya MLipa hapo nawe natafuteMmh maana mm jana nlitoa usiku saa6 mkuu nasijui napataje pesa yangu hadi sasa
Nimeongea na jamaa anasema subili itakuja amna anacho shughulikiaPost namba 161247 kuna namba ya MLipa hapo nawe natafute