Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
south korea woman k league challengeOi league gani hii nikatafute
south korea woman k league challengeOi league gani hii nikatafute
Oyaaa ukiwapat haoooPoa wacha nichonge nao
Zimebakia dakika 10 ...lets pray for green 9+ oddssaa5 - 9+ odds
View attachment 887263
won bet slipZimebakia dakika 10 ...lets pray for green 9+ odds
Kila la kheriZimebakia dakika 10 ...lets pray for green 9+ odds
Sijui nina mkosi gani na 1bet kila nikiweka ela aiongezeki zaidi ya kuisha...nitakula kisha nitairudisha yote...yani ela aiongezeki kabisa sijui kwa nn...kila siku naishia kuweka mtaji....aisee ii kaz ngumu sana
Mkuu mm inabidi nibadishe kampuni japo 1 ina option nyingi ila naona naloose tuHata mimi nilikuwa na hilo tatizo baadae Ikawa nikila tu natoa hela fasta naiingiza kwenye matumizi natumia watu.
Km Sina matumizi natoa natuma kwenye simu ya mama watoto (tumekubaliana mtaji wangu wa siku ni kiasi gani) hivyo anajua ni saa ngapi nahitaji mtaji na si vinginevyo.
Kwa descpline hii mrusi siku hizi anaumia sana tu.
hongera mkuu naona umeanza vizuri me mechi moja imenihanith hapa
boom 9+
Mkuu apo ulikuwa na odds tamu sana...pole sana...dont give up..hongera mkuu naona umeanza vizuri me mechi moja imenihanith hapaView attachment 887374
najilaumu mwenyewe coz nilijua fika ligi wanazofungana sana magoli mengi kipindi cha pili ni kubahatsha mno lakini nikacheza hivyoMkuu apo ulikuwa na odds tamu sana...pole sana...dont give up..
We toka mkuu, wala usiogope, huyu mrusi ataelewa tuNatoka hiviView attachment 887344
hii ni sport pesa au?
Mimi zamani nilikuwa sportpesa, baada ya vichapo kutawala nikahamia kwa mrusi.Mkuu mm inabidi nibadishe kampuni japo 1 ina option nyingi ila naona naloose tu
sportpesa mkuu...naona iyo strategy inaodds tamu sanahii ni sport pesa au?
ila hao si wanakata kodi?sportpesa mkuu...naona iyo strategy inaodds tamu sana