Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

II KAMPUNI YA XBET C SALAMA AISEE SASA MTU UKIWA NA MILIONI YAKO NDOIPOTEE KIZEMBE IV CWEZ ITUMIA TENA KAMPUNI KAMA II BORA PREMIER AU PRINCES NAWEZA WAPATA
Sema muda uliotoa ndo shida mie nakumbuka ilikuwa saa tano kasoro usiku.
 
II KAMPUNI YA XBET C SALAMA AISEE SASA MTU UKIWA NA MILIONI YAKO NDOIPOTEE KIZEMBE IV CWEZ ITUMIA TENA KAMPUNI KAMA II BORA PREMIER AU PRINCES NAWEZA WAPATA
Hawa jamaa wanacho jivunia ni option na mech zipo karibu zoote ila kama ni odd hata premier, princess na PM wanatoa odd nzuri tu
 
Nimeongea na jamaa anasema subili itakuja amna anacho shughulikia
Dah! Iliniuma nami nikapasusa siku ya 3 nikaweka pesa niliwapiga nikatoa 30000 machungu yakaisha,ingawa ilo tukio bado lipo hivyo endapo siku nikirudi tena huko muda wa kutoa naepuka usiku.
 
Sio kweli mkuu! Mbona miamala inasomeka kama kawa
IMG_6826.JPG
 
Mimi zamani nilikuwa sportpesa, baada ya vichapo kutawala nikahamia kwa mrusi.
Huku nikarudisha hasara yangu. Sasa nikasema huyu nimemwonea, ngoja nirudi kule kule Sportpesa nikambandue yeye kama yeye, aisee nilichezea kipigo mfululizo hadi nikasema basi basi, nimekusamehe deni langu bwana!
Siku hizi nipo kwa mrusi na princes coz naona huku siliwi ovyo.
Ngoja leo niende princess uku 1 wananipa za uso sana
 
Back
Top Bottom