MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Hizi Option zinaelekezwa Mara Nyingi sana humu;Mkuu unaamaanisha nin HT/FT 1/2
Hiyo maana yake Kipind cha kwanza Home team iongoze, Then Kipind cha pili Away amalize kwa ushindi.
NB: Kwa faida ya siku nyingine, 1/1 - Home Team Aongoze Vipind vyote viwili, 2/2 - away aongoze vipind vyote viwili.
Nawasilisha