mr.general
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 990
- 618
Kuna timu hapa ya wadada faroe wpmen u19 alipewa odd 70 nikamfikiria sana ila nikaona ngoja nijaribh nikaweka DC ya 1st half sijui huko ngap ngap auwashatungwa
Ahaaaa so tuendelee kusubiri sasahuwa hivyo na wao huchukua live update kutoka kwenye chanel zinazoonyesha match husika
Usikose kunijulisha kitakachojiri ....hapo kwa selous nadai goli moja wengine wote nimepatiahuwa hivyo na wao huchukua live update kutoka kwenye chanel zinazoonyesha match husika
umekula tayari oliweka over 1.5 tu kumbe..Usikose kunijulisha kitakachojiri ....hapo kwa selous nadai goli moja wengine wote nimepatia
Ndyo kwan matokeo tayari?umekula tayari oliweka over 1.5 tu kumbe..
Umeona wapi matokeo coz huku kwangu hawajaniandikia lost but majibu pia yamegoma paleumekula tayari oliweka over 1.5 tu kumbe..
Ndyo kwan matokeo tayari?
Ungewekaaa 100k hapoo ungeamkiaaaa SERENA HOTEL...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani dah lost hiyo aseeView attachment 887460seol wamezingua
mbona hutumi kabla na wengine tudese
1xbet idadi ya mechi kwenye mkeka mmoja huwa ni mechi 60Naomba kuuliza wakuu, hivi 1xbet maximum unaweza kuweka idadi ya timu ngp?
shukrani mkuu,1xbet idadi ya mechi kwenye mkeka mmoja huwa ni mechi 60
mpka sasa dk ya 33 ninapo amdika ubao unasomeka 1-0Wadau naombeni msaada, nimefanya withdrawal juzi Jioni ktk 1xbet chaajabu hela yangu sijaipata mpaka sasa... Nimejaribu kuwasiliana na [email protected] majibu yao nisubiri hadi siku 3 pengine nitaipata... Namba nilotumia sijakosea kabisa, na nimefanya withdrawals zingine baada ya hyo iliyopotelea juu kwa juu na pesa zinafika vzuri tu...
Kwa yyte anayejua kuhusu hili anisaidie
Yeah awe anatuma kabla huyu mrusi tumburuze wote ....hakuna urafiki na mzungumbona hutumi kabla na wengine tudese
HahahahhahahhaahahMimi zamani nilikuwa sportpesa, baada ya vichapo kutawala nikahamia kwa mrusi.
Huku nikarudisha hasara yangu. Sasa nikasema huyu nimemwonea, ngoja nirudi kule kule Sportpesa nikambandue yeye kama yeye, aisee nilichezea kipigo mfululizo hadi nikasema basi basi, nimekusamehe deni langu bwana!
Siku hizi nipo kwa mrusi na princes coz naona huku siliwi ovyo.