Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana haikuwa siku nzuri sana kwa C.S. ilitoa moja pekee.
Tusubiri na Leo itakuwaje wakuu
IMG_20181005_100337_869.jpg
 
TIPS WINNERS KING:
GERMANY: REGIONALLIGA

HEIMSTETTEN Vs BAYERN II

TIME: 2000HRS

PICK: AWAY WIN

PRICE: 1.50

GERMANY:REGIONALLIGA

VIK. KOLN Vs HERKENRATH

TIME: 2000HRS

PICK: HOME WIN

PRICE: 1.45

TOTAL ODDS 2+

TIPS WINNERS KING
[emoji1241]+255713481704[emoji1241]
 
Mkuu tupia basi kokoro la leo, au umeamua kususa hii kazi? Pia naomba kuuliza, uchambuzi wa timu huwa unaufanyia wapi? Au ukiingia 1xbet unachukua tu yoyote
TIPS WINNERS KING:
GERMANY: REGIONALLIGA

HEIMSTETTEN Vs BAYERN II

TIME: 2000HRS

PICK: AWAY WIN

PRICE: 1.50

GERMANY:REGIONALLIGA

VIK. KOLN Vs HERKENRATH

TIME: 2000HRS

PICK: HOME WIN

PRICE: 1.45

TOTAL ODDS 2+

TIPS WINNERS KING
[emoji1241]+255713481704[emoji1241]
 
Yaani yule mbulula Chelsea ningejua basi ningempa mpinzani wake goli tatu aingie Nazo then ashinde halafu ningeweka laki sa hivi ningekua nafanya sherehe tu hapa
TIPS WINNERS KING:
GERMANY: REGIONALLIGA

HEIMSTETTEN Vs BAYERN II

TIME: 2000HRS

PICK: AWAY WIN

PRICE: 1.50

GERMANY:REGIONALLIGA

VIK. KOLN Vs HERKENRATH

TIME: 2000HRS

PICK: HOME WIN

PRICE: 1.45

TOTAL ODDS 2+

TIPS WINNERS KING
[emoji1241]+255713481704[emoji1241]
 
Wadau.. Hii hapa inamaanisha nn
TORINO -1 vs FROSINONE

Hapo inamaana huyo wa away anaingia uwanjani na goli moja,hivyo ili torino ashinde lazima shinde kwa tofauti ya goli 2, akishinda 1 bila hiyo inakuwa draw kwa sababu wa away ameingia na goli lake, mechi ikiisha sare ina maana wa away ameshinda
 
Sijui nina mkosi gani na 1bet kila nikiweka ela aiongezeki zaidi ya kuisha...nitakula kisha nitairudisha yote...yani ela aiongezeki kabisa sijui kwa nn...kila siku naishia kuweka mtaji....aisee ii kaz ngumu sana
mkuu wewe upo kama mimi yan sujui nina gundu gani na 1xbet,angalau sportpesa ndo huwa nakula japo wana kodi kubwa sana(20%)
 
Mkuu tupia basi kokoro la leo, au umeamua kususa hii kazi? Pia naomba kuuliza, uchambuzi wa timu huwa unaufanyia wapi? Au ukiingia 1xbet unachukua tu yoyote
Hahahahaha mkuu hii kazi na Cocaine ni kama ndugu,kuacha mh! inahitaji matibabu yasiyoelezeka aisee.

Uchambuzi mkuu naufanya kwa hatua zifuatazo.

-Livescore kupata ratiba ya game za siku husika.
-Kupitia misimamo na positions za timu husika.
-Kupitia H2H statistics za timu husika ikiwa n kutaka kujua
**timu imeshinda game ngapi na imemshinda nani
**timu hizo zimekutana mara ngapi na matokeo yalikuwaje mara zote.

NOTE;Nilikuwa na kanuni kuwa timu Shabahi ikishinda games 6 mfululizo huwa siibetii game inayofuata.Na timu kibonde iliyopoteza game 5=>6 halafu inakutana na kibonde mwingine mwenye afadhali kidogo lazima nitembee nayo.
-Kupitia views za wadau wengine za sites nyingine za wabetiji km vile Betwall,JF,Betting closed n.k

MWISHO HUWA NAFANYA MAAMUZI KWA KUUFUATA MOYO WANGU UNAVYONITUMA na mara zote ninapoupuuza huwa naambulia MANUNDU TU
So muda mwingine kuheshimu hisia zako na sio mahaba yako ni jambo jema sana.

FIRST IMPRESSION LAST CONCLUSION.
 
Umefafanua vyema mkuu.
 
TIPS WINNERS KING:
GERMANY: REGIONALLIGA

HEIMSTETTEN Vs BAYERN II

TIME: 2000HRS

PICK: AWAY WIN

PRICE: 1.50

GERMANY:REGIONALLIGA

VIK. KOLN Vs HERKENRATH

TIME: 2000HRS

PICK: HOME WIN

PRICE: 1.45

TOTAL ODDS 2+

TIPS WINNERS KING
[emoji1241]+255713481704[emoji1241]
Nasubir na zile unazowekaga rangi.. Huwa zinakuwa mbili tu.. Sijui umezisoma hzo..?
 
Hapo inamaana huyo wa away anaingia uwanjani na goli moja,hivyo ili torino ashinde lazima shinde kwa tofauti ya goli 2, akishinda 1 bila hiyo inakuwa draw kwa sababu wa away ameingia na goli lake, mechi ikiisha sare ina maana wa away ameshinda
Ahaa.. Kumbe, sasa hii itakuwa inapatikana kwenye Handicap au.. Wapi. Ktk 1xbet
 
Hahahahaha mkuu hii kazi na Cocaine ni kama ndugu,kuacha mh! inahitaji matibabu yasiyoelezeka aisee.

Uchambuzi mkuu naufanya kwa hatua zifuatazo.

-Livescore kupata ratiba ya game za siku husika.
-Kupitia misimamo na positions za timu husika.
-Kupitia H2H statistics za timu husika ikiwa n kutaka kujua
**timu imeshinda game ngapi na imemshinda nani
**timu hizo zimekutana mara ngapi na matokeo yalikuwaje mara zote.

NOTE;Nilikuwa na kanuni kuwa timu Shabahi ikishinda games 6 mfululizo huwa siibetii game inayofuata.Na timu kibonde iliyopoteza game 5=>6 halafu inakutana na kibonde mwingine mwenye afadhali kidogo lazima nitembee nayo.
-Kupitia views za wadau wengine za sites nyingine za wabetiji km vile Betwall,JF,Betting closed n.k

MWISHO HUWA NAFANYA MAAMUZI KWA KUUFUATA MOYO WANGU UNAVYONITUMA na mara zote ninapoupuuza huwa naambulia MANUNDU TU
So muda mwingine kuheshimu hisia zako na sio mahaba yako ni jambo jema sana.

FIRST IMPRESSION LAST CONCLUSION.
Hiyo point ya team iliyopoteza game tano na nyingine kushinda game 5 straight ndo kilichotokea kwa genk Jana mpinzani wake alikuwa hajashinda game 6 straight!hata juzi Kati Metz naye
 
Hapo inamaana huyo wa away anaingia uwanjani na goli moja,hivyo ili torino ashinde lazima shinde kwa tofauti ya goli 2, akishinda 1 bila hiyo inakuwa draw kwa sababu wa away ameingia na goli lake, mechi ikiisha sare ina maana wa away ameshinda
Au ndo hii hapa..?
IMG_20181005_105117_065.jpg
 
Back
Top Bottom