BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,029
Weka za Leo mkuuNatengeneza mwenyewe na kuuza
Weka za Leo mkuuNatengeneza mwenyewe na kuuza
hakika aiseeeeHii mbinu ni nzuri haikufilisi, tehtehteh
Ngoja nipate chaiWeka za Leo mkuu
check inbox kwako.Shkamoo
Sawacheck inbox kwako.
Naambiwa sina ruhusacheck inbox kwako.
Kwa kweli kuna haja ya kuweka mikeka minne kwa namna tofauti kwenye hiyo jackpotKWA WALE WANAOBET JACKPOT YA SPORTPESA, nimefanya ka UTAFITI kadogo nimegungua Away timu Ndiyo zina 50% ya ushindi, sare 23% na home team 27% Kushinda. Hivyo basi team Za ugenini Ndiyo zinaongoza kwa kutoa ushindi. Kitu kingine Jackpot ya Sportpesa haijawahi kukosa sare Kuanzia 3. Karibuni tuisasambue 344M ya Sportpesa
Hahahahahaha unamaanisha wamekuchangia Mkuu??Hao inabidi tuwafungulie kesi ya jaribio la kutaka kuua maana km ni wengine walikuwa na nia ovu kabisa.Pole kwangu Mimi sijui hata nani kaua mkeka ni wengi mno
Yaani yule mbulula Chelsea ningejua basi ningempa mpinzani wake goli tatu aingie Nazo then ashinde halafu ningeweka laki sa hivi ningekua nafanya sherehe tu hapaHahahahahaha unamaanisha wamekuchangia Mkuu??Hao inabidi tuwafungulie kesi ya jaribio la kutaka kuua maana km ni wengine walikuwa na nia ovu kabisa.
Mkuu tupia basi kokoro la leo, au umeamua kususa hii kazi? Pia naomba kuuliza, uchambuzi wa timu huwa unaufanyia wapi? Au ukiingia 1xbet unachukua tu yoyoteHahahahahaha unamaanisha wamekuchangia Mkuu??Hao inabidi tuwafungulie kesi ya jaribio la kutaka kuua maana km ni wengine walikuwa na nia ovu kabisa.
Huyo bwege sijawahi kumwamini toka siku Fulani apewe odd 1.13 mpinzani wake 31 na akafungwa tena nyumbani kwake huyo simtaki hata kidogo besiktas ni jipuDah ndo nmeamka:
-na ulaaniwe besiktas umeninyima pesa ndefu,
-ulaaniwe nyumbani na ulaaniwe ugenini
-msimu huu uwe mgumu kwako, ikiwezekana ushuke daraja
-timu yeyote unayokutana nayo iwe na baraka juu yako na ikufunge,
-shwain.
Daaaah[emoji23][emoji16][emoji3]Dah ndo nmeamka:
-na ulaaniwe besiktas umeninyima pesa ndefu,
-ulaaniwe nyumbani na ulaaniwe ugenini
-msimu huu uwe mgumu kwako, ikiwezekana ushuke daraja
-timu yeyote unayokutana nayo iwe na baraka juu yako na ikufunge,
-shwain.