king_azy
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 265
- 965
Kwa kweli kuna haja ya kuweka mikeka minne kwa namna tofauti kwenye hiyo jackpot
Hapo ni bahati tu mi nilishawahi kuweka mikeka 10 tofauti tofauti nikabahatika kupatia timu 10 tu kwenye mkeka mmoja wakanipa ka bonasi tu