Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

meridianbet app n website yao mbna znazngua ivi..
 
NIMEITEMBELEA SITE YA 1XBET
(A) MAZURI YAKE

1. Ina ma option kibao

2. Mtu yoyote aliyecheza hata kama ni sehemu gani duniani akikutumia CODE zake ukitumbukiza zinakuletea mkeka ule, hivyo inarahisisha kubet kwa kundi kwani mkeka mmoja tunaweza kuucheza dunia nzima, tukila tunakula wote na tukipigwa tunapigwa wote

3. Unaweza kushinda kwa wakati mmoja kiwango kikubwa cha fedha tofauti na meridian ambao wanaishia milioni 10 kwa mkeka mmoja na premier wanaoishia milioni 50 k wa mkeka mmmoja so siku kikikuwakia ukimtandika unapiga moja la maisha

(B) MABAYA YAKE

1. Mpanglio wa mechi na option zake umebanana sana sio rafiki unapotafuta timu na option za kucheza waweza kuchukua muda mrefu sana

2. Hawana option ya ku fillter mfano lao nataka kucheza 2+ pekee na filter mechi zote zinadisplay katika option hiyo mimi nibaki nazibonyeza tu haipo tofauti na meridian ya zamani old.meridianbet

3. Pamoja na kwamba option zake ni nyingi lakini sii nyingi kihivyo ukizitafsiri ni zilezile zinapinduliwa tuu na usidhani kwa kuwa na mlolongo wa option basui utapiga kihurahisi hapana, zote ni impossibles (kwa waliosoma logic katika hesabu wanajua) sawa sisi ni jukumu letu kuzibadilisha kuwa possibles

4. Sijaona option ya mechi za masaa mfano nataka nicheze mechi za masaa6 yajayo ama siku mbili zijazo
 
Mkuu link take sindio hii?>>This Web site is not available in your country.
 
Naona watu leo wameandaa makombora ya kutosha...binafsi nimejipanga na nazid kujipanga[emoji53][emoji53]mrusi lazima akae
 
Wabongo ndio maana tunafeli sana, sasa mtu anaanza kwa kukwambia 1xbet ina option kibao, alafu anamalizia kwa kusema sio kama ina option nyingi..
Sasa sijui tutaelewa vip..

Simply 1xbet kuna option nyingi sana, kuna first to happen, 1 minute event
Hizo ni baadhi tu ambazo kwenye site nyingine za kibongo hakuna..
Corners, shot on target unasemaje hakuna option nyingi??
Kwa kifupi wandugu tumsome bookmaker kabla haujajiunga utafahamu faida na hasara..

Mimi personaly nimeanza 1xbet almost mwaka wa 3sasa sijawah pata shida ya kuwithdraw tofaut na mtandao ambayo mwisho wa siku hela yangu hurudishwa akaunt na nawithdraw tena..

Faida 2 kuu zinazonifanya niendelee kubaki huku..
1.Option nyingi(yaan jamaa wamechambua mpira wote, kila tukio la kimpira kuna namna ya kulicheza eg. Throw in, corner, foul etc)
2.Hela yangu nikishinda huwa inakuja kama ilivyo, makato nakutana nayo mpesa wakati wa kutoa kwa wakala.

By the way niko na meridian as a backup

Tatizo kuu la wabongo hatupendi kupata uelewa wa mambo kwa upana wake; yaan mtu akiweka kitu wengine wanasupport bila hata kufanya feasibilty study ya jambo husika....

Naonaga, hata kwenye issue za kawaida unakuta mtu anasifia kuwa IST ni gar zuri hainywi mafuta, 1km natumia lita 15 etc etc,
Mtu anakurupuka ananunua kwa kauli tu ya mtu fulani..

Ndio maana humu malalamiko hayaishi, maswali ambayo kwakweli mengine yanaboa sana..
Unakuta mtu unawekewa mikeka anauliza hii ligi ya wap?? Agrrrrhh!!!
Nawasilisha
 
Sijaona option ya mechi za masaa mfano nataka nicheze mechi za masaa6 yajayo ama siku mbili zijazo
mkuu hata mimi hiki kitu ni tatizo sana ndio mana najikutaga narudi princess. yani wangekuwaga na mpangilio wa mechi zoote za siku zinakaa front page yani nikifungua tu nazikuta. yaani kutafta mechi moja moja kwangu huwa mtihani sana. halfu turbo yao imekaa kizushi tu, sionagi hata umaana wake.
 
Kwa mpangilio wa mechi na site iliyokuwa nzuri kutumia comand za short cut ni meridian tena ile ya zamani walipobadilisha wakaharibu, tatizo lao kubwa ni kwamba unaweza kuchagua mechi zako unaona zimefutika kabla hujatio dau , mara site haipatikani mara mechi zimejichanganya. Mpaka sasa hivi ninaowaona ni BEST NI PREMIER. angalau site yao ina mechi nyingi, option nyingi na imechambuka vizuri, ni mara chache sana utakuta inayumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…