kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,345
- 5,455
Meridian weekend lazima izengue yaan usipo bet ijumaa ucku au jumamosi asubuhi sana imekula kwako ila cha ajabu jumapili inatulia kabsameridianbet app n website yao mbna znazngua ivi..
Meridian weekend lazima izengue yaan usipo bet ijumaa ucku au jumamosi asubuhi sana imekula kwako ila cha ajabu jumapili inatulia kabsameridianbet app n website yao mbna znazngua ivi..
Mfano huo hapoView attachment 887818
Hatuchez liveMkuu Option kama Substitute player to score, throw ins, 1mins events, shot on target,ball possesion, substitutions,posts and crossbar, offsides, goal kick nk umewahi ziona ktk makampuni ya bongo?nadhani 1xbet wako mbali sana ki options
Ishu yenu mnayobishana ilikua ni maswala ya Options ndio nikakupa mfano huo. Kumbuka tu kua Mpira ni mchezo wenye hizo events zote so kuwepo ni sawa kabisa, Mkuu naona unasema maswala ya kutokua na "UHAKIKA" , Katika betting hakuna option yenye uhakika so bora wao wametoa wigo mpana wa wa option kwa mtu kua na choices ya options nyingiKuwepo kwake mkuu haitoshi sana, tatizo ni kwamba waliozitengeneza wamecheza na logic sana huwezi kubashiri na ukawa na uhakika eti kwamba mtu ambaye ameingia kwa sabstitution atapata goli
Kuana baadhi ya matukio hutokea mara kwa mara na kwa kujirudia, ijapo kuwa hakuna uhakika lakini kuna high possibility to occur. Ndio maana hizo wanaweka odd ndoogo kabisa nadhani hilo halina ubishi. Zaidi ya hapo nimekuelewa vizuri maelezo yako maana mimi naye sii mgeni wa kushinda na kushindwa katika bet. Mini ni mtaalamu wa michezo mingine isiyo soka maarufu kama MAKOROKOCHO, na kila option nimezipitia na nazipima zile ambazo zipo mbaali sana kuwezekanika naziita kama kamari na kuzitupilia mbaliIshu yenu mnayobishana ilikua ni maswala ya Options ndio nikakupa mfano huo. Kumbuka tu kua Mpira ni mchezo wenye hizo events zote so kuwepo ni sawa kabisa, Mkuu naona unasema maswala ya kutokua na "UHAKIKA" , Katika betting hakuna option yenye uhakika so bora wao wametoa wigo mpana wa wa option kwa mtu kua na choices ya options nyingi
Leo sichezi mbali..
Kwa kweli watu wana hitaji muda zaid kuisoma 1x so far mpaka sasa kwangu ndio kampuni bora kabisa ambayo kila option ninayo ihitaji naipataWabongo ndio maana tunafeli sana, sasa mtu anaanza kwa kukwambia 1xbet ina option kibao, alafu anamalizia kwa kusema sio kama ina option nyingi..
Sasa sijui tutaelewa vip..
Simply 1xbet kuna option nyingi sana, kuna first to happen, 1 minute event
Hizo ni baadhi tu ambazo kwenye site nyingine za kibongo hakuna..
Corners, shot on target unasemaje hakuna option nyingi??
Kwa kifupi wandugu tumsome bookmaker kabla haujajiunga utafahamu faida na hasara..
Mimi personaly nimeanza 1xbet almost mwaka wa 3sasa sijawah pata shida ya kuwithdraw tofaut na mtandao ambayo mwisho wa siku hela yangu hurudishwa akaunt na nawithdraw tena..
Faida 2 kuu zinazonifanya niendelee kubaki huku..
1.Option nyingi(yaan jamaa wamechambua mpira wote, kila tukio la kimpira kuna namna ya kulicheza eg. Throw in, corner, foul etc)
2.Hela yangu nikishinda huwa inakuja kama ilivyo, makato nakutana nayo mpesa wakati wa kutoa kwa wakala.
By the way niko na meridian as a backup
Tatizo kuu la wabongo hatupendi kupata uelewa wa mambo kwa upana wake; yaan mtu akiweka kitu wengine wanasupport bila hata kufanya feasibilty study ya jambo husika....
Naonaga, hata kwenye issue za kawaida unakuta mtu anasifia kuwa IST ni gar zuri hainywi mafuta, 1km natumia lita 15 etc etc,
Mtu anakurupuka ananunua kwa kauli tu ya mtu fulani..
Ndio maana humu malalamiko hayaishi, maswali ambayo kwakweli mengine yanaboa sana..
Unakuta mtu unawekewa mikeka anauliza hii ligi ya wap?? Agrrrrhh!!!
Nawasilisha
Shida yao wapo kama chuma uleteView attachment 887849
Mkuu nyinyi mnatumia 1Xbet ipi isiyo na ku filter masaa!!mi mbona naopaona?Tuseme ukweli tu jamani hakuna kampuni hapa bongo itawafikia hawa Warusi, kwao hawa Kuna option kamwe uzikuti kwa Wabongo, Option kama Substitute player to score, trow ins, 1mins events, shot on target,ball possesion, substitutions,posts and crossbar, offsides, goal kick nk
Note: Siwapigii debe ila since nimeingia huku nimeshazisahau kampuni zetu kina PMbet, Premierbet, Mkeka nk
GERMANY: REGIONALLIGA
HEIMSTETTEN Vs BAYERN II
TIME: 2000HRS
PICK: AWAY WIN
PRICE: 1.50[emoji736]
GERMANY:REGIONALLIGA
VIK. KOLN Vs HERKENRATH
TIME: 2000HRS
PICK: HOME WIN
PRICE: 1.45[emoji736]
TOTAL ODDS 2+[emoji736]
TIPS WINNERS KING
[emoji1241]+255713481704[emoji1241]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti chuma ulete... Unampiga sasa hivi... Baadae unarudisha pesa yake...Shida yao wapo kama chuma ulete
Yaap mkuu, ukishinda lazima ziliwe tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti chuma ulete... Unampiga sasa hivi... Baadae unarudisha pesa yake...
Mimi bwana nisiseme uongo muhindi analia sana kwanguNakubali kaka.. I think imewin..
Nilimix na timu zingine ili kuongeza Odds..
So zikitiki na hzo.. Alhamdulillah..
Usipost hiz kma hukushare before