Ni apk gan hiyo
Tehtehteh, siwezi kumind.Hahahah
Hahahahaaaa, mkuu umemaind
Mkuu ulibet baada ya kudepositWameniibia pesa zangu adi sasa kimya na amna wakunisaidia sasa lako nzima c ndogo especially iki kipindi nlicholiwa sana apo nyuma
Ulimpa atoe drawMmmh westham huyooo
Mzeee over nmewek sas naona hewaaUlimpa atoe draw
Halaf hz hazionyesh vzr
Pole hata GG hatoiMzeee over nmewek sas naona hewaa
Miaka Mitatu yote ya kuitumia 1XBET hukutushtua wadau tuneemeke nayo?!?!? Mpaka juzi kati Fumbo lilivyotatuliwa na Deep pond![emoji134]Wabongo ndio maana tunafeli sana, sasa mtu anaanza kwa kukwambia 1xbet ina option kibao, alafu anamalizia kwa kusema sio kama ina option nyingi..
Sasa sijui tutaelewa vip..
Simply 1xbet kuna option nyingi sana, kuna first to happen, 1 minute event
Hizo ni baadhi tu ambazo kwenye site nyingine za kibongo hakuna..
Corners, shot on target unasemaje hakuna option nyingi??
Kwa kifupi wandugu tumsome bookmaker kabla haujajiunga utafahamu faida na hasara..
Mimi personaly nimeanza 1xbet almost mwaka wa 3sasa sijawah pata shida ya kuwithdraw tofaut na mtandao ambayo mwisho wa siku hela yangu hurudishwa akaunt na nawithdraw tena..
Faida 2 kuu zinazonifanya niendelee kubaki huku..
1.Option nyingi(yaan jamaa wamechambua mpira wote, kila tukio la kimpira kuna namna ya kulicheza eg. Throw in, corner, foul etc)
2.Hela yangu nikishinda huwa inakuja kama ilivyo, makato nakutana nayo mpesa wakati wa kutoa kwa wakala.
By the way niko na meridian as a backup
Tatizo kuu la wabongo hatupendi kupata uelewa wa mambo kwa upana wake; yaan mtu akiweka kitu wengine wanasupport bila hata kufanya feasibilty study ya jambo husika....
Naonaga, hata kwenye issue za kawaida unakuta mtu anasifia kuwa IST ni gar zuri hainywi mafuta, 1km natumia lita 15 etc etc,
Mtu anakurupuka ananunua kwa kauli tu ya mtu fulani..
Ndio maana humu malalamiko hayaishi, maswali ambayo kwakweli mengine yanaboa sana..
Unakuta mtu unawekewa mikeka anauliza hii ligi ya wap?? Agrrrrhh!!!
Nawasilisha
Nilikuwa najaribu ushauri wako kiongozi...!!! Ukitulia huwezi kukosa hela ya supu ya pweza..!!!!Mambo vipi wadau...
Poleni sana na kazi...
CHUKUA HII
HII NI NZURI KWA WAUMINI WA ODD YA 1.40, 1.50, 1.60... RANGE HIYO
IKO HIVI... NI TENIS ONLINE/INPLAY
Kwenye tenis
Game ikiwa set 1 na score ikawa 1:1, 2:1, basi kuna uwezekano mkubwa karibu 87% hadi 100% hiyo set ikatoka na goli zaidi ya 7(over 7.5)
Na pia set ikiwa na goli 2:2, 2:3 basi kuna uwezekano mkubwa karibu 87% hadi 100% hiyo set ikatoka na goli zaidi ya 8(over8.5)...
Hivyo kama utachukua game mbili hadi tatu bila ya kuwa na tamaa ya odd na ukiongeza umakini basi unapata aidha odd ya 1.40, 1.50, 1.60, sometimes hata odd ya 2.
Muhimu kuwa na app itakayokupa update za game kadri inavyoendelea (sofascore ni nzuri sana kwa update na mpangilio wake wa matokeo)
Muhimu pia kuwa betting site yenye game nyingi za inplay na yenye option ambazo hazitokubana...
NB: KUTAFUTA PESA HAKUJAWAHI KUWA KURAHISI KAMA KUMEZA TONGE LA UGALI NA MRENDA MGUNDA AU MWIDU...
Sio Tanzania tu. Nadiriki kusema hata zile Bet365, Betway and the like.....Hawagusi kwa huyu mnyama 1XBET.Hakuna kampuni inayoizidi 1xbet hapa Tanzania. Anaeilalamikia hajai masta vizuri web au app yap.
Mkuu tupia mwingine