rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
Uwe unawekaa tukufatee mkuu..Mimi bwana nisiseme uongo muhindi analia sana kwangu
Uwe unawekaa tukufatee mkuu..Mimi bwana nisiseme uongo muhindi analia sana kwangu
Mbona nawekagaUwe unawekaa tukufatee mkuu..
Mkuu tunapangiana cha kupost humu?Usipost hiz kma hukushare before
Mi napenda unavyotukumbuka. Acha tumkamue muhindi.Mimi bwana nisiseme uongo muhindi analia sana kwangu
Vizur sana, muhindi sio mtanzania.. Hebu tumgonge tu..Mimi bwana nisiseme uongo muhindi analia sana kwangu
Mlize kisawasawa, azitapike hela zetu.Mimi bwana nisiseme uongo muhindi analia sana kwangu
Mi napenda unavyotukumbuka. Acha tumkamue muhindi.
Hahahahaaaa, mkuu umemaindMkuu tunapangiana cha kupost humu?
Wameniibia pesa zangu adi sasa kimya na amna wakunisaidia sasa lako nzima c ndogo especially iki kipindi nlicholiwa sana apo nyumaWadau naomba kuuliza hiv 1xbet ina usalama haina matatizo ?
Mtaji ukiongezeka lazima void an initio tutaenda sawa kwenye kumtapisha kanji.Mlize kisawasawa, azitapike hela zetu.
Nilipata tabu kipindi sina 1xbet..kila in play na code zilinipitaYaap, ndo uungwana huu,
ukiwa na possible unabandika humu kama MTU ana mzigo basi ajichanganye awezavyo
Muhindi kanipiga sana aisee. ..Vizur sana, muhindi sio mtanzania.. Hebu tumgonge tu..
Nitakuwa nafuatilia nyota yako everyday
FT 2 -0siku ya saba leo play single
france national
Stade Lavallois Mayenne FC vs FC Chambly Oise
over 2.5 odd 2.41
extra gg & 3+
risk taker correct score 2 - 1 au 1 - 2 odd 11+
Kweli kumenoga tupia na mwingine tuudake juu kwa juuIn play kumenogaView attachment 887964
Karibu mkuu tumpige mrusi.Mtaji ukiongezeka lazima void an initio tutaenda sawa kwenye kumtapisha kanji.