Pole mkuu ndio hali ya mchezoCS.. Za Leo zimeua mtaj wangu kabisa
Betting shop zao zinapatkana wapi hapa bongo??
Betting shop zao zinapatkana wapi hapa bongo???
Zipo nyingi,kwa aliye ubungo ipo riverside kwenye kituo cha daladala cha makoka,magomeni kagera kituoni ukiwa unatokea ubungo,makumbusho bus stop inaangaliana na geti la kutokea dalala hizo ni chache nilizo zitumia
Umepigwa ngap mkuu. Pole sanaDuuh.. Hali mbaya.. Sijui pesa yangu itarudi
Mkuu naomba nakuulize hii set 1 ikiwa na 1:1 au 1;2 ni muda wowote tunaweza kubet au kuna wakati wake maalumuMambo vipi wadau...
Poleni sana na kazi...
CHUKUA HII
HII NI NZURI KWA WAUMINI WA ODD YA 1.40, 1.50, 1.60... RANGE HIYO
IKO HIVI... NI TENIS ONLINE/INPLAY
Kwenye tenis
Game ikiwa set 1 na score ikawa 1:1, 2:1, basi kuna uwezekano mkubwa karibu 87% hadi 100% hiyo set ikatoka na goli zaidi ya 7(over 7.5)
Na pia set ikiwa na goli 2:2, 2:3 basi kuna uwezekano mkubwa karibu 87% hadi 100% hiyo set ikatoka na goli zaidi ya 8(over8.5)...
Hivyo kama utachukua game mbili hadi tatu bila ya kuwa na tamaa ya odd na ukiongeza umakini basi unapata aidha odd ya 1.40, 1.50, 1.60, sometimes hata odd ya 2.
Muhimu kuwa na app itakayokupa update za game kadri inavyoendelea (sofascore ni nzuri sana kwa update na mpangilio wake wa matokeo)
Muhimu pia kuwa betting site yenye game nyingi za inplay na yenye option ambazo hazitokubana...
NB: KUTAFUTA PESA HAKUJAWAHI KUWA KURAHISI KAMA KUMEZA TONGE LA UGALI NA MRENDA MGUNDA AU MWIDU...
Mkuu wabongo wengi ni wavivu kusoma vitu;Mkuu nyinyi mnatumia 1Xbet ipi isiyo na ku filter masaa!!mi mbona
Betting most of them ni logic mkuu, hiyo umeenda bali, je hata timu gan inashinda unafikiri hawatumii logic? Na bado waka mwingine timu waliyotegemea inapigwa, correct score je? Everything in betting ni logic to ndio maana ni mchezo wa kubahatishaKuwepo kwake mkuu haitoshi sana, tatizo ni kwamba waliozitengeneza wamecheza na logic sana huwezi kubashiri na ukawa
Hii nilielekezwa na mshkaji, nikiwa Malasyia masomoni, ndio nikaanza kuitumia, kwenye uzi huu nimeanza mwaka huu Around may, sasa ningewashtuaje??Miaka Mitatu yote ya kuitumia 1XBET hukutushtua wadau tuneemeke nayo
Mkuu naomba nakuulize hii set 1 ikiwa na 1:1 au 1;2 ni muda wowote tunaweza kubet au kuna wakati wake maalumu
Asante sanaGERMANY: REGIONALLIGA
HEIMSTETTEN Vs BAYERN II
TIME: 2000HRS
PICK: AWAY WIN
PRICE: 1.50[emoji736]
GERMANY:REGIONALLIGA
VIK. KOLN Vs HERKENRATH
TIME: 2000HRS
PICK: HOME WIN
PRICE: 1.45[emoji736]
TOTAL ODDS 2+[emoji736]
TIPS WINNERS KING
[emoji1241]+255713481704[emoji1241]
Ipo vizuri hakikaNilikuwa najaribu ushauri wako kiongozi...!!! Ukitulia huwezi kukosa hela ya supu ya pweza..!!!!View attachment 888022View attachment 888023
TIPS WINNERS KING:Asante sana
Weka mwingine nataka odd nne leoTIPS WINNERS KING:
05.OCT.2018
__________
Switzerland super league
""""""""""""""""""""""""""""""
BSC Young boys Vs Fc Luzern
Time:20;00
Pick: home win
Odd: 1.39
Qatari - Stars league
Time:17:40
Al khoor Vs Al Rayyan SC
Pick: A way win
Odd; 1.56
Total odd: 2.16
[emoji1241]+255717481704[emoji1241]
TIPS WINNERS KING