Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Samahani wadau
Hebu mnieleweshe leo kwa mara ya kwanza nimepata tatizo kudeposit inaniletea mapicha mapicha nami kila siku huwa na deposit fresh
Sasa hapa kuna tatizo ganiView attachment 891139
Wanataka kuthibitisha kua wewe ni mtu halisi na cyo robot maana robot haez kutumia akili za kibinadamu kuchaguz alama hizo sawasawa na maelekezo ya yaliyopo. So wewe chagua picha zinazoonyesha alama za taa za barabaran
 
Huyu Botosani cjui yupoje yan; goli la mapema la nini sasa; ana haribu mkeka hlf liligi lao ni ligumu ka nn😢😢
 
Huyu Botosani cjui yupoje yan; goli la mapema la nini sasa; ana haribu mkeka hlf liligi lao ni ligumu ka nn😢😢
kaharibu sana kufanmya hivyo yaani but kuna uwezekano mkubwa kufungwa goli lingine moja naona
 
Bado goli moja mkuu
2+ ndo imetiki
Cork City 2 - 1 Bohemians

niliandika 3+ tu ndio ilikuwa na odd 2.10

ningesem total home team or away team kama ninavosemaga ndio ingekuwa hivo. (total home team ilikuwa na odd 3+)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…