Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Dnt.miss it
Dnt.miss it
SawaaaaaDnt.miss it
Huwa unabet vipi au option gani inakubalii Sana'a???Kwenye ice hockey mtaji unakua haraka sana. Huku kuna nafuu maana unaweza ku-submit mkeka halafu ukaagiza bia ukaanza kunyonya taratibu ukisubiri mkeka usome....
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
HahahahhaHHHKwenye ice hockey mtaji unakua haraka sana. Huku kuna nafuu maana unaweza ku-submit mkeka halafu ukaagiza bia ukaanza kunyonya taratibu ukisubiri mkeka usome....
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Sio kwamba. Kila ukitoa inagoma hapana ila baadhi ya pesa zinagoma namm Mara kadhaa Natoa inakubali ila somtyms inatokea na inabd uchukue tahadhari Ku deposit pesa nyingi itaku costNimetoka kutoa 480k 1xbet haijachukua hata dakika 10
NdioMkuu nilikuuliza tangu majuzi, ulipoweka pesa ulibet ukala hata mchezo mmoja?
Hivi hujui kama ni namba ya ofisi? Mwisho wa huduma huwa saa kumi jioni wewe unapiga saa hizi unategemea nani akuhudumie?Kama hawapokei ufumbuzi utapatikaje, basi ni kampuni ya kipuuzi sana
Aisee! Na Vodacom nao mwisho saa 10 jion etiHivi hujui kama ni namba ya ofisi? Mwisho wa huduma huwa saa kumi jioni wewe unapiga saa hizi unategemea nani akuhudumie?
UWEKEE WASHEE MZEE BABAAKwenye ice hockey mtaji unakua haraka sana. Huku kuna nafuu maana unaweza ku-submit mkeka halafu ukaagiza bia ukaanza kunyonya taratibu ukisubiri mkeka usome....
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Nishawasiliana nao lakini wako kimya hawajibu!
Sasa hivi nimejifunza nitakuwa sisubiri mtaji ukue ndio nitoe.. Kila nikimtandika natoa fasta.
total goal under 1.5Dnt.miss it
Uliji register kwa option gani kati ya zile mbili (fast au kawaida)Ndio