Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yes hapa nimekupata, na walikuwa sahihi.... Dah binafsi nilishachinjiwaga baharini ushindi wa laki na usheee.... Hua roho inauma sana
Ile Atalanta ni mbuzi kabisa sikubet usiku kwa sababu yake maana nilikuwa nishatega mabomu kwa kutumia winning ya advance bet ticket. 50 inebaki najipanga hapa za kuanzia saa moja
 
Vumilia kidogo hangover ya vipigo ipite.

Kingine log out, hlf log in tena ujaribu upya mchakato kwa amount ndogo ndogo like elfu 50, then 40, 30 nk.... Mind you usiweke amount za kufanana maana nazo zikibuma ni shida kwenye kuzidai
Kweli ngoja niwavumilie sababu juzi kuna mtu kawapiga kama billion 2 za jackpot.. Sasa labda bado wana wenge la kipigo.
 
Ngoja nijaribu hiyo sema game za leo vimeo sana. Hakuna game yenye high possibility ya kunitunzia hii 100k yangu.
Kazi ipo.
Mkuu, this is what happen Ulikuwa na likely 30k, Ukadeposit 100k, Sasa je mkeka wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani? Kama it was less than 30K na ukawin ina maana kwamba 100k uliyodeposit haijafanya kazi kwa mrusi,

Tatizo umepandishia mahela, yamechanganyika ndipo Mrusi akakubana kwenye Kona Ya Vigezo na Masharti.
 
Tujaribuni hii jamani
 

Attachments

  • Screenshot_20181008-165826.jpg
    Screenshot_20181008-165826.jpg
    40.6 KB · Views: 29
Jana nimemtandika mrusi kama laki 4 hivi, sasa tangu Jana najaribu kutoa hiyo hela ananitumia huo Ujumbe chini. Sijui mrusi kafilisika? Guys, Hebu nipeni way forward nifanyeje hapa? SimwelewiView attachment 890691View attachment 890692
Inaonyesha umedipost halafu unataka kutoa bila kucheza ndo maana anakwambia salio la mwisho kuweka lazima Uber hata odd ndogo km 1.1
 
Back
Top Bottom