Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Kweli mkuu awa XBET wako vzuri options lkn unaweza kuna unaingia adi hasara ya mamilioni maana awana MSAADA kabisa ukipiga zile namba amna wanachokusaidiaNi tatizo hili aisee!
Kweli mkuu awa XBET wako vzuri options lkn unaweza kuna unaingia adi hasara ya mamilioni maana awana MSAADA kabisa ukipiga zile namba amna wanachokusaidiaNi tatizo hili aisee!
Haswa. Mm nimetoa hela Jana 375k mpk Sasa kimyaaa daahKweli mkuu awa XBET wako vzuri options lkn unaweza kuna unaingia adi hasara ya mamilioni maana awana MSAADA kabisa ukipiga zile namba amna wanachokusaidia
Kwahyo umeshapata mshiko wkoNimetoka kutoa 480k 1xbet haijachukua hata dakika 10
Mkuu hich kitu hakipo kwenye hii Industry, Labda Urekebishe kauli, Hakuna kitu kama Match za uhakika, hakuna, Ni wataalamu tu wanakaa na Kufanya Analysis za Algorithm, of which ndio hizo zinabaunce sometimes...VIP tips na fixed match za uwakika ambazo siyo z utapeli
Hahaaa Mkuu Niko shamba huku, mpaka baadaye.Didy,kipusa,wamisako,void awa watu leo wapo maana pamepoa sana...wanatuwekaga sana mjini somtime
Mkuu nilikuuliza tangu majuzi, ulipoweka pesa ulibet ukala hata mchezo mmoja?Kweli mkuu awa XBET wako vzuri options lkn unaweza kuna unaingia adi hasara ya mamilioni maana awana MSAADA kabisa ukipiga zile namba amna wanachokusaidia
Sawa mkuuHahaaa Mkuu Niko shamba huku, mpaka baadaye.
ulitumia bonus kwenye hiyo hela uliyo betia? kama hukutumia bonus inaonesha wamecalculate kiasi ulicho deposit mikeka uliyo cheza na kiasi ulichokula haviendani.Jana nimemtandika mrusi kama laki 4 hivi, sasa tangu Jana najaribu kutoa hiyo hela ananitumia huo Ujumbe chini. Sijui mrusi kafilisika? Guys, Hebu nipeni way forward nifanyeje hapa? SimwelewiView attachment 890691View attachment 890692
Mkuu sikutumia bonus kwenye kubet, nilideposit laki moja Jana na ndio hiyo nilitumia kwa siku Mzima na kuna masaza yalikuwemo kwenye account yangu kidogo tu kama 30k.
Mnh mmh mkuu lugha za watu hizo.Jana nimemtandika mrusi kama laki 4 hivi, sasa tangu Jana najaribu kutoa hiyo hela ananitumia huo Ujumbe chini. Sijui mrusi kafilisika? Guys, Hebu nipeni way forward nifanyeje hapa? SimwelewiView attachment 890691View attachment 890692
wakuwasiliana wapo na wanajibu fasta nena kwenye my account kulia pembeni baada ya kubonyeza utakutana na custimer support bonyeza hapo..Mkuu sikutumia bonus kwenye kubet, nilideposit laki moja Jana na ndio hiyo nilitumia kwa siku Mzima na kuna masaza yalikuwemo kwenye account yangu kidogo tu kama 30k.
Hii kampuni nayo inazingua kiaina na hivi hakuna hata wa kuwasiliana nae ili aniambie nimekosea wapi? Ukiwatumia SMS hawajibu.
Mara ya mwisho kudeposit ilikuwa 100k, kwa hiyo wanataka nitandike mkeka wa odds kuanzia 1.1 kwa 100k ya last deposit yangu?Mnh mmh mkuu lugha za watu hizo.
Mi nilichoambulia hapo ni kwamba ili utoe kiasi hicho ina kulazimu kuweka mkeka wenye odd 1.1 na kuendelea kwa kwa kiwango cha pesa ambacho ni kiasi kile cha mara yako ya mwisho kudeposit. Kama mara ya mwisho umediposit 30000 basi tandika mkeka wa 30000 ambao rimu zake zitakuwa na odd kuanzia 1.1 nakuendelea.
Lugha ya watu hii mi nimejaribu tu walosoma Fedha watakuja wakuelezee vizuri
wewe utaliwa pesa zako bure tumia akiliyako na moyo unavyokutuma kutandika mkekaWana JF msaada VIP tips ### mnifafanulie kwa undani na zile odds zake
Nimefanya hivyo mkuu, ila hadi muda huu kimya.wakuwasiliana wapo na wanajibu fasta nena kwenye my account kulia pembeni baada ya kubonyeza utakutana na custimer support bonyeza hapo..