Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mara ya mwisho kudeposit ilikuwa 100k, kwa hiyo wanataka nitandike mkeka wa odds kuanzia 1.1 kwa 100k ya last deposit yangu?
kwa maelezo ya mdau pale juu nimegundua kuna pesa uliweka (ambayo umesema ni laki) ulibeti lakini hukubetia yote ila ulipowin unataka utoe zote ndio maana umepigwa pin cha kufanya nenda hata inplay tafuta timu yenye uhakika weka mzigo subiri matikeo kisha uvute mpunga wako
 
GAME OF THE DAY

Sporting gijon-2x (spain)
Fc Cologne-1 (germ)
Fc rosengaard-1x (sweden)
Molde-1&1.5o (norway)
HSC csikszereda-1 (hockey int)
Paul tommy-2 (tennis USA)
Catarina, lucas-1 (ITF men france)
Echazu,maurico-1set win (peru itf)

Total odds
5.12
Soccabet:#53469264
 
Mkuu sikutumia bonus kwenye kubet, nilideposit laki moja Jana na ndio hiyo nilitumia kwa siku Mzima na kuna masaza yalikuwemo kwenye account yangu kidogo tu kama 30k.

Hii kampuni nayo inazingua kiaina na hivi hakuna hata wa kuwasiliana nae ili aniambie nimekosea wapi? Ukiwatumia SMS hawajibu.

Click pale juu kwenye profile, nenda customer service hlf anza kuchat nao kuulizia tatizo ni nini?

Maana hilo tatizo lako ni km umedeposit amount kiasi fulani hlf unataka kuwithdraw bila kubet kabisa.

Sasa kwa kesi yako inaonekana umeshabet.

Hii pia inaweza kuwa imechangiwa na kipigo jana.

Mimi ndiyo maana huwa natoa hela kadri inavyoingia
 
Mara ya mwisho kudeposit ilikuwa 100k, kwa hiyo wanataka nitandike mkeka wa odds kuanzia 1.1 kwa 100k ya initial deposit yangu?
Yeah hapo ndio utaweza kutoa hizo 400 zako kwa mujibu wa sheria zao na huo mkeka kila timu iwe na odds kuanzi 1.1 na kuendelea.
Jana nilitumia advance bet walinikopesha 32000 na mkeka ukatiki nilibet single bet won kwa kiasi cha sh 263300 lakini matokeo yake hakuna nilichoambulia nikawasiliana nao wakanimbia kwa mujibu wa sheria za advance bet hiyo ticket yangu imekuwa void kwa sababu mkeka wangu wa mwisho kabla ya kutumia advance yao nililost wakanirudishia stake yangu 50000
 
kwa maelezo ya mdau pale juu nimegundua kuna pesa uliweka (ambayo umesema ni laki) ulibeti lakini hukubetia yote ila ulipowin unataka utoe zote ndio maana umepigwa pin cha kufanya nenda hata inplay tafuta timu yenye uhakika weka mzigo subiri matikeo kisha uvute mpunga wako

Nashauri km atafanya hivyo abetie labda elfu 10 tu.

Mimi nilishawahi kudeposit laki 2, bahati mbaya nikakuta ile inplay niliyokuwa naiwahi imepita ikabidi nitafute timu km tatu nikaweka elfu 20 ule mkeka ulipotiki nikaweza kuwithdraw hela yote bila hata kubetia ile nyingine 180
 
Yeah hapo ndio utaweza kutoa hizo 400 zako kwa mujibu wa sheria zao na huo mkeka kila timu iwe na odds kuanzi 1.1 na kuendelea.
Jana nilitumia advance bet walinikopesha 32000 na mkeka ukatiki nilibet single bet won kwa kiasi cha sh 263300 lakini matokeo yake hakuna nilichoambulia nikawasiliana nao wakanimbia kwa mujibu wa sheria za advance bet hiyo ticket yangu imekuwa void kwa sababu mkeka wangu wa mwisho kabla ya kutumia advance yao nililost wakanirudishia stake yangu 50000
Si ninaweza kubet single bet yenye odds ya 1.1 kwa 100k ili kuactivate withdrawal possibility? Au hadi nitandike mkeka wa odds kuanzia 1.1? Wanakera lakini hawa jamaa?
 
Click pale juu kwenye profile, nenda customer service hlf anza kuchat nao kuulizia tatizo ni nini?

Maana hilo tatizo lako ni km umedeposit amount kiasi fulani hlf unataka kuwithdraw bila kubet kabisa.

Sasa kwa kesi yako inaonekana umeshabet.

Hii pia inaweza kuwa imechangiwa na kipigo jana.

Mimi ndiyo maana huwa natoa hela kadri inavyoingia
Nishawasiliana nao lakini wako kimya hawajibu!

Sasa hivi nimejifunza nitakuwa sisubiri mtaji ukue ndio nitoe.. Kila nikimtandika natoa fasta.
 
Si ninaweza kubet single bet yenye odds ya 1.1 kwa 100k ili kuactivate withdrawal possibility? Au hadi nitandike mkeka wa odds kuanzia 1.1? Wanakera lakini hawa jamaa?
Wanaseria kavu hao kwenye masuala ya pesa we weka hata game moja as long as odd imezidi 1.1 na kiasi tia kilo sikilizia halafu withdraw
 
Ngoja nijaribu hiyo sema game za leo vimeo sana. Hakuna game yenye high possibility ya kunitunzia hii 100k yangu.
Kazi ipo.
 
INDONESIA - SUPER LEAGUE

Persija Jakarta v Perseru Serui

TIP:FT 1✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
Booom♻️♻️♻️♻️💵💵💵

KICK OFF :1200HRS

SOUTH KOREA - WK-LEAGUE, WOMEN

Hyundai Steel W v Hwacheon Kspo W

TIP :OV25✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
Booom💵💵💵💵

KICK OFF :1300HRS

CZECH REPUBLIC - U21, MORAVIA GROUP
✍✍

Brno U21 v Fotbal Trinec U21

TIP:OV 25✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
✳️✳️✳️✳️✳️✳️✳️✳️✳️

KICK OFF :1400HRS

CZECH REPUBLIC - U21, MORAVIA GROUP

SK Sigma Olomouc U21v FC Slovacko U21
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
TIP:GG ✅✅✅✅✅&OV25✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅

KICK OFF :1400HRS

VIETNAM - V-LEAGUE

Song Lam Nghe An v Ho Chi Minh City

TIP:FT1✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
Booom☝️☝️💵💵💵😭

KICK OFF :1300HRS
 
Yeah hapo ndio utaweza kutoa hizo 400 zako kwa mujibu wa sheria zao na huo mkeka kila timu iwe na odds kuanzi 1.1 na kuendelea.
Jana nilitumia advance bet walinikopesha 32000 na mkeka ukatiki nilibet single bet won kwa kiasi cha sh 263300 lakini matokeo yake hakuna nilichoambulia nikawasiliana nao wakanimbia kwa mujibu wa sheria za advance bet hiyo ticket yangu imekuwa void kwa sababu mkeka wangu wa mwisho kabla ya kutumia advance yao nililost wakanirudishia stake yangu 50000

Hii mbona kama wamekuibia.... Ina maanisha stake waliyokurudishia ni ya mkeka wa mwisho kabla ya kuweka Advance bet?

Maana Advance bet malipo yake huwa yanatokea kwenye mikeka ya nyuma masaa 48 kabla ya advance bet kuwekwa kwahiyo ikitokea umeshinda bet au umesell bet au umekuwa refunded basi hutumika kulipia ile stake uliyokopeshwa kwaajili ya advance bet.

Mimi huwa naweka advance bet ikitokea nimekula basi nauzaga mikeka ya nyuma kwa hasara ndogo ili wanilipe win yangu ya advance bet hlf nabet upya mikeka yangu ya nyuma
 
Ngoja nijaribu hiyo sema game za leo vimeo sana. Hakuna game yenye high possibility ya kunitunzia hii 100k yangu.
Kazi ipo.

Kuwa mvumilivu Usithubutu kulazimisha kubet game za ajabu ajabu.
 
SWEDEN - DIVISION 2,

IS Halmia v KSF Prespa Birlik

TIP. FT1

TIME 20:30

BELGIUM - BELOFTEN PRO

Waasland Beveren U21 v Zulte Waregem U21

TIP. GG AND OV25

TIME. 20:30

BELGIUM - BELOFTEN PRO

Standard Liege U21 v Cercle Brugge U21

TIP. GG

TIME. 20:30
 
Nishawasiliana nao lakini wako kimya hawajibu!

Sasa hivi nimejifunza nitakuwa sisubiri mtaji ukue ndio nitoe.. Kila nikimtandika natoa fasta.

Vumilia kidogo hangover ya vipigo ipite.

Kingine log out, hlf log in tena ujaribu upya mchakato kwa amount ndogo ndogo like elfu 50, then 40, 30 nk.... Mind you usiweke amount za kufanana maana nazo zikibuma ni shida kwenye kuzidai
 
Hii mbona kama wamekuibia.... Ina maanisha stake waliyokurudishia ni ya mkeka wa mwisho kabla ya kuweka Advance bet?

Maana Advance bet malipo yake huwa yanatokea kwenye mikeka ya nyuma masaa 48 kabla ya advance bet kuwekwa kwahiyo ikitokea umeshinda bet au umesell bet au umekuwa refunded basi hutumika kulipia ile stake uliyokopeshwa kwaajili ya advance bet.

Mimi huwa naweka advance bet ikitokea nimekula basi nauzaga mikeka ya nyuma kwa hasara ndogo ili wanilipe win yangu ya advance bet hlf nabet upya mikeka yangu ya nyuma
Mkuu nilikuwa na 50000 nikaongeza na advance bet 32000 ikawa jumla ya stake 82000 nikaplace bet na bet ika win 260na upuuzi kidogo sasa kuna mkeka kabla ya kuuweka huo wa advance bet yule bwege Atalanta kauchana ndio ikawa sababu ya advance bet ticket kuwa void hivyo wakanirudishia 50000 yangu. Umenielewa hapo mkuu??
 
Yes hapa nimekupata, na walikuwa sahihi.... Dah binafsi nilishachinjiwaga baharini ushindi wa laki na usheee.... Hua roho inauma sana
 
Ngoja nijaribu hiyo sema game za leo vimeo sana. Hakuna game yenye high possibility ya kunitunzia hii 100k yangu.
Kazi ipo.
Fumba macho kama vipi sikilizia mpaka night naona kuanzia mida ya saa mbili zinaeleweka kama kule norway over 1.5 za kufikia tu na argentina kunatoa sana under 3.5 ila hizi za argentina kwa under ni bora u heze inplay
 
Back
Top Bottom