Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
😂😂😂😂😂😂Leo ligi ya uholanzi pepo mchafu kawatembelea....Over 2.5 kwa tochi[emoji23]
1st half imebuma, kuWawahi kipindi cha pili sasa.Yan leo Timu iliyopata goli hadi mda huu ni Moldova tuu
Wameyumba sana mkuu.Brazili kushinda goli moja tuu ni laana
Ndiyo wamepata la pili saivWameyumba sana mkuu.
Aisee,hatimaye waarabu wamelegeza.Ndiyo wamepata la pili saiv
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kumbuka kakutana na mwarabuBrazil over 2.5[emoji3][emoji3][emoji3]nacheka kwa dharau.
Mwarabu Fighter.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kumbuka kakutana na mwarabu
Nawashangaaa wamekaza hatariCroatia na Finland wanakosa kagoli
Angalizo usiweke team moja kwenye mikeka zaidi ya mmojahmmmm hiii kazi ni ngumu mno mikeka 3 yote ina msubir mpuuuzi mmoja ambae ana kila dalili ya kuzamisha jahaz apa