Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
timu zilikuwa mbili tu mwezie katoa.Kauchana mapema mno daah
au ulitunishia odd kwenye mkeka mwingine
timu zilikuwa mbili tu mwezie katoa.Kauchana mapema mno daah
Na jiwe anavyopenda kulalamikaTaifa star's bola hamkwenda na dreamliner mngetutia hasara kubwa
Wakuu naomba kujua jinsi yakubet maana ninahamu sana na mimi nibet
[emoji38][emoji38][emoji38]100% Fixed
Tanzania win
7.9 cheap Odds!
Don't miss!
Gracious!
Yaani Tanzania hata kama sijabet siku akiwa anacheza lazima nibet kimoyomoyo kuwa anafungwa.Kuna mtu yoyote kampa tanzania??[emoji23][emoji16][emoji3]
Kweli hii Fixed [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]100% Fixed
Tanzania win
7.9 cheap Odds!
Don't miss!
Gracious!
Kona zimegandaBetting noma sana hadi sasa 0-0
Kweli hii Fixed [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo atakuwa ni kibaraka wa kanji..
Ety T'Starz kuwin...kwa Mpira upi...!!!