Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wa inplay nawapa kaujanja kidogo Nenda Katafute game za basket ambayo quarter ya kwanza ishapita angalia quarter iliyopita wamepigana vikapu vingapi then weka quarter inayofuata over! Kwa mfano quarter iliyopiata wamepigana 20-21 (41) we nenda katie hata over 37.5 angalia odd zinazokufaa
 
Hivi 1xbet wana tatizo gani? Tokea saa nane mchana nimewithdraw hela Hawajaconfirm mpaka muda huu.Wanadai kuna technical error.
Kuna mwingine amekumbwa na tatizo kama hili.
 
Back
Top Bottom